Leadership is not charisma.
It is not noise.
It is discipline.
The Discipline of Mission
A standard every intelligent leader must accept.
Available now:
https://t.co/fd4G7KSH2M�
#Leadership#Mission#ExecutiveMindset
What a coincidence that in 1992 Youth for Kanu (YK'92) leaders were forced to deny that they were a hit squad and 32 years later with one of the group's leaders at the nation's helm there are actual abduction squads running around
The Dangers of Dating High-Body Count Women
As a man, you need to be aware of these dangers before getting involved with someone who’s experienced a revolving door of partners.🐺
POLITICS AS USUAL
Siasa za kwenye Tuzo ni tatizo sugu na lina pande tatu; MASSAGING EGOS, BALANCING EMOTIONS & MANAGING EXPECTACTIONS.
Nilihudhuria Tuzo 2022, kila mtu badala ya kushukuru team yake, producers, writers, management, anasema, “Tunamshukuru Rais”.
Tuzo zikitumika as “propaganda machine”, anayeumia ni MUZIKI. Tanzania ina potential kimuziki, ila tumenasa sababu hatuchukui hatua stahiki; na Tuzo kutumika kisiasa haisaidii.
Wasanii wenye MAUDHUI ya KISIASA na UANAHARAKATI kutopata nafasi. I mean by Umaarufu, Streaming Numbers na Impact, wimbo wa Roma wa “NIPENI MAUA YANGU” unapaswa kuwa nominated! Ndio mimi niliuponda (by my standards na ni obvious tuna beef), ila kwa Standards za kibongo, wimbo hauna neno na ulikuwa lead song iliyo propel auze vizuri album yake.
Sasa tunawalindaje kina Roma, Nay Wa Mitego, Wakazi, Vitali Maembe,nk, kupata fair-share ya Tuzo bila kujali mitazamo na itikadi.
Kumbuka Nyuma ya Tuzo kuna BASATA, ambao recently wamekuwa kama Polisi wa Sanaa na sio Walezi.
Pia Tuzo zikiwapa ushindi Artists ili WASINUNE, je tutakuwa tunaitendea haki Tasnia? Nimeona Zuchu kaongelea hilo. Yaani it looked obvious kuwa kuna BALANCING inafanyika, kwenye category na kwenye ushindi
Why GOSPEL MUSIC wamenyimwa Category? Wao wanataka, ila nyie kwa sababu za KISIASA hamtaki kisa Waislamu hawataki KASWIDA na nyie mnaona kama moja ikiwepo na lazima nyingine iwepo. Sasa mbona Category nyingi tu hamjaziweka? Infact kwenye Hip Hop hamna Male & Female?
SUGGESTION: Serikali iweke structure kwa Tuzo kufanyika, ila isiwe ina interfere kitu and let the music play!
Kuwe na Uhuru wa kuwepo Tuzo mbali mbali, na BASATA wala WIZARA isihusike.
Academy izingatie MUZIKI na sio WASANII. Focus iwe kwenye muziki bora na uliofanya vizuri. Tusiangalie Majina wala ku-balance ili wote wafurahi. YOU CANT PLEASE EVERYBODY! Kama kuna wimbo unastahili kushinda kila kitu acha ushinde. Imagine Mwaka ambao Darassa alitoa “Muziki”, tungeshangaa yeye kushinda kila kitu?
Kuwe na Category ya BEST INSPIRATIONAL MUSIC ambapo Gospel na other inspirational music will fall under. Muziki wa Kiislamu ni Ibada, ila isiwe sababu ya Gospel kushindwa kupewa maua yao.
@MwanaFA@SevenMosha@TashStam@simulizinasauti@millardayo@WizaraSanaa@NdumbaroDamas@BasataTanzania@mapana_kedmon
ROMA ACHA UPOTOSHAJI !!
Kuna watu huwa wanajiongelesha tu ku-force narratives. Kama @Roma_Mkatoliki ambae anataka kuwaaminisha watu kuwa Ku-Rap ni Rahisi, Kugumubni kupata hits, na pia wasiozipata wanawachukia Wasanii wenzao walizonazo. HUO NI UONGO na nitadadavua.
1. Kuchana ni Easy: SIO KWELI
Ukiondoa kuhitaji sauti, pumzi (breath control), rhythm yakufanya utiririke, pia unahitaji Mahesabu… 16s, 8s, 4s… bars beats & hooks. It is ironic unasema kuchana easy, ila ulivyoniomba nikuandikie mistari, nikakupa some complex rhyme pattern ukashindwa ku flow ukaomba kupunguza maneno.
2. Kuandika mistari ni Easy: SIO KWELI
Ukiondoa uvumilivu, utayari, upeo, uzoefu, pia unahitaji UFUNDI (Ujuzi na Ustadi). kuna mantiki, kuna matumizi ya tamathali za semi, lugha za picha, ujumbe, uhalisia, ukweli, etc. Hata siku moja a true emcee can never make such a statement
3. Kazi ni Kuwa na Wimbo unaopenswa na Wengi: SIO KWELI
Kibarua cha kwanza ni kuwa na hivyo viwili juu. Then kuhusu wimbo kupendwa, sio matokeo ambayo yapo mikononi mwa Artist kikawaida, maana kuna Timing, Uwekezaji, Mfumo na Madhumuni.
TIMING: Unaweza kuwa na wimbo mzuri ili ukatoa wakati mbaya, wimbo usiende.
UWEKEZAJI: Hit songs siku hizi zinalipiwa! So uwekezaji hafifu unaweza fanya wimbo wenye potential usifike mbali. (no video, no sponsored ads, no street promo, no extensive media tour, etc) Zote ni Gharama
MFUMO: kuna watu wana run game, na ndio wanaamua nini iwe nini. Huwezi sidhani na waliosainiwa kwenye labels, na pia huwezi shindana na artists ambao wapo kwenye mipango ya Media, au ambao wanasimamiwa na Presenter/DJ.
MADHUMUNI: Sio kila wimbo unatolewa kwaajili ya kusaka Mass Appeal… Sanaa kazi yake sio tu Kuburudisha, la hasha, pia ni kuonyesha sanaa, kutunza sanaa, utamaduni, kuelimisha jamii, kuonya jamii, na kudumisha utamaduni, etc. Kila mtu angechana kama Saleh Jabir, kila mtu ambae angefuata angejua hiyo ndio standard; ila labda Mh Temba ndio ameridhi that style, na later kina Nay Wa Mitego. Ila Tulikuwa na mafundi kama Hashim Dogo, ambao kwa kuifanya wameitunza na kina Solo wakaitunza, na hatimae sisi tumeikuta; Nikki Mbishi, One, Wakazi, na sisi tumeshawaachia kina Mex, etc
SASA TUKIJA UPANDE WA chuki, makasiriko na Uadui, kisa eti watu wanashindwa kuwa na popular/hit song SIO KWELI HATA KIDOGO!
•Kwanza ume generalize as if uadui huwa ni kwenye rap tu. Na ajabu ni kwamba in rap, Battle in jadi. Rap is competitive na scores za nani bora huanzia kwenye majibizano na kuishia kwenye nyimbo.
•Waimbaji ndio wanaongoza kwa uadui na beef zisizoisha na cha ajabu wote wanazo hizo hits. So obviously una perpetuate false narrative
•Uadui na migongano mingi kama sio yote huwa ni PERSONAL; wameibiana Mademu/Mabwana, wameshikana Uchawi, Wamezibiana Rizki, Wamefichiana white, Wameibiana nyimbo/beat/mistari, etc.
•Wasanii ambao wanaumia kwa nyimbo zao kutowika, lawama kubwa (kama sio zote) huzipeleka kwa Media, DJs na Presenters… sijawahi kusikia eti Msanii amemchukia Msanii mwingine kisa wimbo wake hauja-hit… na kiuhalisia, unless hawana ukaribu, Wasanii huwa wanasherehekea ushindi wa mtu wao akiweza kupenya maana wanajua kupitia yeye neema inakuja.
Ni rahisi kuwadanganya watu wa kawaida, ila sio sisi. Na kwa mantiki hiyo hutoweza kuwadanganya mbele yetu na tukuache.
The Leader
🚨 MUSK: “There’s no point in criticizing Kamala Harris, she’s simply the face of a much larger machine. She’ll say whatever is on the teleprompter. She’ll get stuck if the teleprompter breaks…it’s whoever controls the teleprompter who is in charge.”
TUCKER: “Who is that?”
MUSK: “It’s not any one mastermind. Kamala is a sort of marionette with somewhere north of 100 (handlers)”
TUCKER: “I bet you know 80 of them.”
MUSK: “I probably know most of them.” 😂
🎙️ Ronaldinho: "There are nights when I go to bed wondering how time could pass so quickly... When did I get old? I don't forget the times when I went out at Camp Nou on Saturday's, or every La Liga game with Barcelona. I don't forget when we played the Clasico against Real Madrid. Those are moments you can never forget.
When I played at Barça, I was the happiest man in the world, I only wanted to play under these colours. When people applauded me with every dribble, or every time I did a bicycle or a rabona, it was magical...
I cry with melancholy when I think of the highlights with the greatest club in history.
My heart is Blaugrana until death." 💙❤️