Kwani MATAGA serikali ya Rais mpya haijawapa muongozo nini cha kufanya? Maana ni kama bado mmevurugwa na kufiwa na Meko (siwalaumu maana mlifichwa alikuwa na afya mbovu 10yrs ago)
Kaeni jipangeni wawape script mpya ya awamu hii ili twende sawa!
We have big agendas ahead of us
@ymcthetycoon@AnethStanley@MagufuliJP Ukitangaza tu nia, inatakiwa uombe likizo bila malipo. Ikiwa utateuliwa kuwa mgombea na tume ya uchaguzi, utatakiwa kuacha kazi mara moja. Kiujumla , mchakato unaanza pale tu unapotia nia kugombea nafasi ya uongozi .
@AnuaryMgonde@zittokabwe Hivyo baada ya kupata ulemavu huo, wakaanza kumdai mbunge (Masala) kwa wakati huo ili awalipe fidia kwa kuwa mzee huyo alipata ulemavu wakati wa kusherekea ushindi wake. Sasa pima mwenyewe na uone kama huo ni utapeli, kama unavyomchafua mtu kwenye mitandao
@AnuaryMgonde@zittokabwe Acha kupotosha, usimuite mtu mwizi na tapeli ilhali hujui nini kilichotokea na chanzo cha madai hayo. Huyo baba mwenye ulemavu, alipata ajali iliyosababisha ulemavu huo mwaka 2015 wakati anasherekea ushindi wa ubunge wa Masala mwaka 2015.
@damian_sanya@AnethStanley@MariaSTsehai@MagufuliJP Sio kweli, kasome waraka namba 1 wa mwaka 2015 wa watumishi wa umma. Waraka huo unaeleza taratibu zote anazotakiwa kufuata mtumishi wa umma anayegombea nafasi ya kisiasa. Ni takwa la kisheria