Hili jamaa ni jinga sana! Zile coca cola za chupa za plastic ni Mo na Azam wanatengeneza? Pepsi za chupa za plasti ni Mo na Azam wanatengeneza? Jambo Food kule Mwanza ni cha Mo au Azam?
Tanzania in viumbe wajinga sana! Hawa ndiyo wanaongeza idadi ya wendawazimu nchini ๐คฎ