Mpira umekua Mgumu sasa tunaanza kuongelea Historia sijui babu mzaa bibi yake na Messi almkataa nani sijui🤣🤣🤣. Baba sisi ndo tushawataka hao wabaguzi wasio na Mchezaji mweusi. Geopolitics to win a sports argument is as low as on can go. Nyie sio mashabiki wa Mpira.
Kati ya nchi 4 zilizobaki kwenye World Cup, Argentina pekee ndiyo haina wachezaji wenye rangi nyeusi. Hii ni kwa sababu viongozi wao wa mwishoni mwa karne ya 19 walitaka Argentina iwe ya watu weupe tu (Blanquidad). Watu weusi wakaanza kubaguliwa, wazungu wa ulaya wakakaribishwa.
Accountability is at an all time zero....Yani huwazi kwanini wewe huendi Jumuiya? Unaishi kipagani unataka uzikwe kikatoliki. Thats not fair kwa wakatoliki waliouishi ukatoliki vyema. Nenda Jumuiya usali ni wenzako.
Mimi inanishangaza ya kutokuzika mtu kisa hakusali Jumuiya na wakati Yesu alienda ponya mtu siku ya Sabato.
"Usihukumu usije ukahukumiwa" na wao wanahukumu. Funny
Miezi mitatu sasa maumivu, huzuni, masikitiko, maombolezo bado vipo na vitaendelea kuwepo maana kupotozewa ndugu, jamaa au rafiki si kitu chepesi. Wanataka muda upite tusahau ila 2910 haitosahaulika. Waliondoka kwaajili yetu nasi tufanya sahihi kwaajili yao. Wapumzike Salama 🙏🏽
Huyu kijana mdogo mliemteka hata ikichukua miaka 50, lazima mtajibu uharifu huu na Dunia itajua nani alihusika na alietoa agizo la ukatili na unyama huo.
Hatuna deni na wewe Mwamba, ulitupa zaidi ya kile tulichostahili huku ukifahamu fika kwamba they will come for you & you know ulifanya yote kwa wakati sahihi. Japo mioyo yetu inauma ila tunazidi kukuombe popote ulipo usiwe na majuto hata panapo maumivu na mateso. 💔💔🥹