AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.
Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.
Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi๐ฅ๐ฅ๐ฅ
REPOST 500
#NoDemocracyNoAfcon
#FreeTunduLissu
Simba wa Tanganyika
Leo nitatoa elimu kwa wote hadi machawa kwa nini #FreeTunduLissu ni ya ishu ya kitaifa na si ya @ChademaTZ2 na wanaharakati
Mjipange chihuahua kuchangamsha ubongo!
Again we say #FreeTunduLissu
Girishoni jana anatukumbusha kuidai TANGANYIKA yetu kutoka kwenye ukoloni wa WAZANZIBARI.
Hii ndio bendera ya Zanzibar, jana Girishoni wakati anatoa UFAFANUZI kuhusu Meli iliyokamatwa El Salvador na shehena ya MADAWA YA KULVYA alisema ile meli imesajiliwa ZANZIBAR.
Sasa kama imesajiliwa Zanzibar kwanini hawakuweka Bendera ya Zanzibar? Leo Tanganyika tunaathirika na Uamuzi wa Zanzibar kusajili VIBAKA.
Hawa Wazanzibari wao wana BUNGE lao ambalo hakuna Mtu kutoka Tanganyika anaingia humo. Huku Tanganyika Tunalo Bunge ambalo Limejaa Watu wa ZANZIBAR.
Ukienda Zanzibar kama umetoka Tanganyika unaona kabisa Umeingia nchi ya kigeni, kwanzia namna utakavyo pokelewa pale Bandarini, lazima uwe na NIDA/ Passport/ Barua ya serikali ya mtaa ya kukutambua wewe.
Wao wakija Huku Tanganyika wanaingia bila kuonyesha chochote kikubwa tuu uwe na nauli yako ya kuvuka kuja Tanganyika.
Wewe mtanganyika HUWEZI kumiliki Ardhi ukienda Zanzibarโila wao wamejaza huku Wapemba na wanamiliki Ardhi na hakuna kitu tunawafanya.
Mtanganyika HUWEZI kuenda kuwa kiongozi wa zanzibar hilo HALIWEZEKANI mpaka unaingia kaburini. Ila wao NDIO wamejaa sasa serikalini kwanzia kwa huyo MALAYA hapo juu, njoo baraza lake la WASENGE wote wamejaaa matakataka ya zanzibar.
Tunaposema huu sio Muungano muwe mnaelewa, sisi ni Koloni la zanzibar.
NYERERE ALITUKOSEA SANA AISEE..!
Leo Mhe. Lissu katimiza siku 315 Gerezani kwa kesi ya mchongo ya uhaini.
BADO CHUMA KIPO IMARA. MWAGA MOTO KAMA DRAGON KWA RAISI TUNDU LISSU KWA WIVU MKUBWA SANA ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ