Kabla ya kujitenga na wale ambao wangekupa msaada, hakikisha unanguvu, uelewa, ujasiri na uthubutu wa kutosha kukabiliana na hali zote zitakazokuja mbele yako, jitambue.
Good morning Hustlers ππΎ
This is your chance to place your brand directly in front of families actively searching for quality education and trusted support services.
Register now as an exhibitor and secure your space.
https://t.co/6JjP0SaCT5
Few exhibitor slots remaining for ISEF Dar es Salaam 2026 @isefafrica is coming to Dar es Salaam on Saturday, 23rd May2026 at Serena Hotel connecting thousands of parents and students with schools, colleges, universities, education brands, edtech companies, and service providers.
Maendeleo ya kiuchumi huendana sambamba na afya bora. Hivyo basi, fursa za kiuchumi kwa vijana ni budi ziende sambamba na kuwapa elimu juu ya kujikinga na madhara yatokanayo na ngono zisizo salama.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz

Naam! Amini kwamba Uchumi imara huanza na vijana wenye afya bora. Elimu ya afya ya uzazi ni sehemu muhimu ya safari ya mafanikio kwa kila kijana.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus
Maendeleo ya kiuchumi huendana sambamba na afya bora. Hivyo basi, fursa za kiuchumi kwa vijana ni budi ziende sambamba na kuwapa elimu juu ya kujikinga na madhara yatokanayo na ngono zisizo salama.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Kwenye hili sakata la Paratroopher na Dada wa Chadema na tuhuma nzito majibu ya maswali mnayojiuliza ni rahisi sana kuna moja ya interview Buyobe alisema nanukuu "Ujasusi ni biashara ya taarifa kati ya usaliti na uaminifu" akaongezea kwa kusema...π