#TBT | #BTS ๐ฌ
Mbele ya kamera kila kitu kilionekana kuwa sawa, ila nyuma ya kamera ni vicheko, kelele na hekaheka.
โ#KizaziChenyeUsawa si ni kizazi hiki kina usawa...it is in the name.โ ๐คฃ๐คฃ
Hata hivyo, ujumbe unabaki uleule: Ni POA kusimamia USAWA! ๐๐ฟ
#ElimikaWikiendi
Jamii yenye usawa ni ile inayompa kila mtu nafasi ya kushiriki na kufanikiwa bila kujali jinsia, uwezo au mazingira yake.
Gilbert yuko cool still na bado ameCHILL kwa #KizaziChenyeUsawa.
Hedhi salama inajumuisha sehemu salama ya kujisitiri . Kwa tuliosoma saint kayumba tunajua hali ya vyoo vyetu . Je kulikuwa na chumba maalum cha kujisitiri wakati wa hedhi ?
#PeriodFriendlyWorld#WASHformenstrualhygiene
We ask women-led orgs to solve gender inequality, violence & poverty then give them shortterm funding & uncertainty. That's not partnership. That's survival. Real change needs real resources.
#ResourcingRights#FundingJustice kesho @herinitiative & @WiLDAFTz wanazuungumzia hili
Je wakati unasoma shuleni palikuwa na sehemu maalum ya kujisitiri ukiwa hedhi ?
Je kwa sasa unadhani ni muhimu kwa shule na public spaces kuwa na hizi sehemu ?
#PeriodFriendlyWorld#WASHformenstrualhygiene
Virusi vya UKIMWI havionekani kwa macho ya kawaida au kwa kujitazama au kumtazama mtu mwingine. Usiwe na hofu, nenda ukapate ushauri nasaha na kupimwa kwenye kituo ambacho utamua kwenda.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Virusi vya UKIMWI havionekani kwa macho ya kawaida au kwa kujitazama au kumtazama mtu mwingine. Usiwe na hofu, nenda ukapate ushauri nasaha na kupimwa kwenye kituo ambacho utamua kwenda.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Virusi vya UKIMWI havionekani kwa macho ya kawaida au kwa kujitazama au kumtazama mtu mwingine. Usiwe na hofu, nenda ukapate ushauri nasaha na kupimwa kwenye kituo ambacho utamua kwenda.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Epuka kujipima mwenyewe VVU โkiwanjani kabla ya mechiโ. Unaweza kuwa na mhemuko wa shoo au hata ukapuuzia majibu yenyewe.
Nafuta ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya kabla ya kuanza kujipima ili ujue faida na hasara za kujipima.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Good morning watu wa Mungu
๐MTUMBA PURE COTTON
Shuka 2, foronya 4
Tsh 50,000
Size 7*8-8*9
0755693113
๐ Riverside Karibu na micasa
Mikoa yote tunatuma
@MiriamMkanaka@Sativa255@Thereal_taivina
๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ก๐๐๐ก๐ข ๐๐๐ฅ๐๐ฆ๐
Kukaa na pedi kwa muda mrefu kunaweza kusababisha miwasho ya ngozi, harufu isiyopendeza, na kuongeza hatari ya maambukizi kwenye njia ya uzazi.
#MHD2026Tz#ElimikaWikiendi
Aidha, shule ina clubs za mazingira na afya zinazowawezesha wanafunzi kujifunza masuala mbalimbali ya afya, usafi wa mazingira pamoja na kuwajengea ubunifu na uwezo wa kujitegemea kupitia shughuli tofauti wanazoshiriki.
#MHD2026Tz#ElimikaWikiendi
Baadhi ya wasichana wenye umri wa miaka 10โ13 bado hawatambui wanapoanza hedhi. Hii ni changamoto kubwa.
Jukumu letu walimu ni kuwasaidia kuelewa mabadiliko haya ya mwili, kuwafundisha namna sahihi ya kujisitiri na kuwa na usafi binafsi.
Mwl Tunu
#MHM2026Tz#ElimikaWikiendi