Welcome to the Official Page of Samia In Action where you find updates on great Projects done the President Of The United Republic of Tanzania, URT πΉπΏ
πViwanja Vya Ipuli, Tabora
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili na Kuzungumza na wananchi wa Tabora mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama Cha Mapinduzi.
π12 Septemba, 2025.
πIkulu, Magogoni, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria mara baada ya kutunukiwaNishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon)
π 14 Agosti, 2025
πIkulu, Magogoni, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria.
π 14 Agosti, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafarijiwanafamilia wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugaikatika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
UWANJA UMEINAMA, NCHI IMESIMAMA!!
Dr Samia Suluhu Hassan ndo Nyota wa Michezo mpaka sasa, Anaonekana kuwa Bora kila sehemu katika safari hii kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba β¦
Hakuna Beki wala mpinzani anayetamani kukabana nae kwa kuhofia Aibu ya Matobo na chenga za kudhalilisha kutokana na Maendeleo lukuki aliyoyafanya!
Kuna Watu walisema Dr Samia Suluhu Hassan ni mzuri zaidi akitokea pembeni ila la hasha yeye ni Mtu asiyeweza kutabirika kiurahisi kama Simba mwenda polepole!
Mashabiki wa Timu ya CCM mpaka sasa hawana Hofu ya Matokeo sababu wazungu wanasema NUMBERS DON'T LIE na kwa dalili zilivyo KOMBE LINAKUJA CCM!
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Dodoma.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Begi lenye Fomu za kugombea nafasi ya Rais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jijini Dodoma. 09 Agosti,2025.
πMtumba, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo.
π 08 Agosti, 2025.
MUONEKANO WA JENGO LA MAABARA KUU YA KISASA YA KILIMO.
Jengo hili limezinduliwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mkoani Dodoma.
πMtumba, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa.
π 25/07/2025
πMtumba, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa.
π 25/07/2025