mradi huu unalenga kusaidia watoto wakike walioko mashuleni kupata elimu ya afya ya uzazi pamoja na hedhi salama. Pia Unaenda sambamba na kugawa taulo za kike ili kuwezesha kuwa na hedhi salama. Ili kuwa sehemu ya mradi huu unaweza kuchangia kupitia namba zilizopo hapo chini.