Name: Komugisha Peace
Tribe : Munyankore
Age : 25
Birth month: November
Status: Single not searching
Hustles: Hustler
Profession: Education Lit/Eng
Talent : Nothing
Hobbies: Being on X
Football team: None but i think i like arsenal. And yours😊
Naandika kwenu MAWAKILI wetu. Hakuna anayewalipa. Hakuna anayewaahidi kesho iliyo salama. Lakini bado mnaamka kila siku na kuchagua kusimama upande wa haki kimya kimya bila kelele bila makofi.
Mnakesha mkisoma, mkitafiti mkisafiri mbali mkibeba mzigo wa wasiwasi ambao wengi hawawezi kuuelewa. Wakati wengine wanatafuta raha nyie mnachagua wajibu. Wkt wengine wananyamaza nyie mnabeba sauti za haki.
Hii si kazi hii ni wito. Demokrasia haifi kwa siku moja hufa taratibu pale watu wema wanapochoka kusimama. Na nyie mmeamua kutochoka. Historia haiandikwi na waliokuwa na nguvu bali na wale waliokuwa na ujasiri wa kusimama pale ilipokuwa ngumu.
Mnaweka misingi ambayo hata kama haitatambulika leo itasimama kesho kama nguzo ya taifa lenye haki. Mnaumizwa, mnapuuzwa wakati mwingine mnaogopwa lakini bado mnasimama. Huo ndio ujasiri wa kweli. Huo ndio uzalendo usio na matangazo.
God bless you na wengine wote wenye hari kama zenu kote Nchini.
Much Love MAWAKILI WETU
Siku kama ya leo mwaka jana, tulipambana na kukesha kuhakikisha CHADEMA inazaliwa Upya. Inatoka kwenye mikono ya Madalali wa Kisiasa! Happy birthday CHADEMA!
Nasubiri tuelewane vizuri kwanza!
Vipi bado!? Very soon sote #TutaelewanaTu
It can never be business aa usual - kinachofuata inaitwa The Day of Reckoning
Until then endeleeni kufikiri mi ndo mkorofi! Nipo nawa-zoom tu siongei tena!
Jeffrey Sachs: U.S. Attacks Venezuela & Kidnaps President Maduro
- My talk with Prof. Jeffrey Sachs has more than 1 million views within the first 48 hours. Make sure to watch and share!
https://t.co/bosKNn4JDf
Vita? Anamaanisha vita kati ya raia wasiokuwa na silaha na vikosi vya dola vyenye silaha nzito? Au anamaanisha watu kuingia msituni? Watu timamu walihitaji ‘electoral reforms’ kuelekea katika uchaguzi siyo ‘constitutional reform’. Hivi anajisahaulisha au anafanya makusudi? Kila nikikumbuka katika nafasi hiyo tumewahi kuwa na viumbe kama Salim Ahmed Salim, Joseph Sinde Warioba, Edward Moringe Sokoine, Cleopa David Msuya, Rashid Mfaume Kawawa, hadi sasa tumeangukia hapa kwa wanaoandaa mambo ya ‘pentre stesheni’, nachoka sana. Ni kwamba tumefika mwisho katika kuzalisha viongozi au kuna tatizo la msingi na hatulijui? That is just not normal. Something is wrong. Weird.