Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Mama Samweli ametoa simulizi ya kusikitisha kuhusu kifo cha mwanawe, akidai alipigwa risasi wakati wa vurugu na maandamano yaliyoripotiwa kutokea Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata.
Mama huyo alitoa madai hayo mbele ya mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika mjini Tunduma Juni 24, 2026, ambapo alisema mwanawe alikuwa tegemeo kuu la familia na kwamba kifo chake kimeiacha familia katika hali ngumu ya maisha.
Akizungumza kwa hisia na uchungu mkubwa, Mama Samweli alisema alimlea na kumsomesha mtoto wake kwa kufanya biashara ndogo ya kuuza uji, akitarajia kuwa angekuwa msaada mkubwa kwake katika maisha ya baadaye.
“Nilimsomesha kwa kuuza uji. Alikuwa msaada wangu mkubwa na tegemeo langu kwa kila kitu,” alidai mama huyo huku akizungumza mbele ya mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Madai hayo yanaongeza sauti za wananchi na familia mbalimbali ambazo zimekuwa zikitaka ufafanuzi kuhusu matukio yaliyoripotiwa kutokea wakati na baada ya Oktoba 29, 2025.
Baadhi ya makundi ya kisiasa na watetezi wa haki za binadamu wamekuwa wakitaka uchunguzi huru ufanyike ili kubaini kilichotokea na kuwajibisha wahusika iwapo kutathibitika kuwepo kwa ukiukwaji wa sheria au haki za binadamu.
Hata hivyo, hadi sasa mamlaka husika hazijatoa tamko rasmi kuhusu madai yaliyotolewa na Mama Samweli wala kutoa maelezo ya kina kuhusu tukio analolidai lilisababisha kifo cha mwanawe.
Kauli zake zimeibua hisia miongoni mwa wananchi waliohudhuria mkutano huo, huku baadhi yao wakitaka ukweli kuhusu matukio ya Oktoba 2025 uwekwe wazi ili familia zilizoathirika zipate haki na majibu ya maswali yanayowakabili.
Mhe. Tundu Lissu, vikwazo na dhoruba havimjengi kiongozi wa kawaida, bali huimarisha kiongozi wa kweli. Taifa linaendelea kujifunza uzalendo, ujasiri na kusimamia haki kupitia misimamo yako thabiti.
Mungu akupe nguvu na hekima katika safari yako ya kulitumikia taifa.
#FreeLissu
"Pamoja na kwamba tunapitishwa kwenye moto, tunaumizwa, kiongozi wetu yupo ndani, watu wanatekwa, haya yote mara polisi kutuita, kuzuia mikutano, kutuzuia na mengine ni usumbufu tu ili tutoke nje ya mstari, tutoke kwenye hojaz tusitazame pale tunapopata na ndio maana tunasema tunataka katiba mpya kwasababu mfumo wetu wa haki jinai umeoza, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havifai. Kuna siku mtu alisema mifumo ya kutoa haki inapooza watu wanapuuza kifo."
... Mimi nimeona watu wameuwawa, watu wameona watu wakitekwa sasa jiulize kwanini bado watu wanazidi kusonga mbele? Ni kwasababu hulka ya binadamu ipo hivi- ukimuonea, ukampuuza yeye pia anapuuza hata kifo anasema liwalo na liwe na sisi Chadema tumefika hapo, tunapuuza kifo, tunataka katiba mpya na tutaisukuma mpaka tuipate na mwanga ni mkubwa."
"Angalia hata watu wanaowatazama tukiwa hapa, waite wale (CCM) na tuite sisi uone nani atasikilizwa. Watu wanaifuatilia Chadema kwasababu tunazungumza mambo yanayohusu maisha yao. Maana yake watu wanaunga mkono yale tunayoyazungumzia na hili tunataka liwe kila sehemu hata mtu akikutana na mpenzi wake chumbani amwambie unga kwanza mkono Chadema na Katiba mpya ndipo tufanye mambo yetu."John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema leo Juni 17, 2026 kwenye kipindi cha SuperBreakfast cha EA-Radio.
@Liberatus80 This is not the time to reside with perpetrators who breaches the rule of Law, the mentioned in your statement know exactly what they did to the Tanzania 2020 and 2025 general elections!!
VIDEO:
Mashambulizi ya hoja za kisiasa kati ya CCM @ccm_tanzania na CHADEMA @ChademaTZ2 yanaendelea kushika kasi nchini kufuatia hii leo, Jumatano Juni 17.2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika @jjmnyika kutoa 'madai mazito' kuhusiana na ufadhili wa fedha kutoka nje ya nchi kwa vyama vya siasa, akitolea mfano baadhi ya maeneo/miradi ambayo amedai kuwa CCM ilipokea mabilioni ya fedha kutoka kwa wafadhili kutoka nje
Majibu hayo ya Mnyika, yanakuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi na makada wa CCM akiwemo Kenan Kihongosi @KenaniKihongos1 na Ally Hapi @AllyHapi kuendelea 'kuishambulia' CHADEMA kuhusu suala la milioni 900+
Wakati Magufuli anafariki aliacha bajeti ya safari (za nje na za ndani) ni Bilioni 282 tu. Mwaka uliofuata ikapanda hadi Bilioni 360. Mwaka uliopita ikafika Bilioni 844. Mwaka huu serikali imetenga Trilioni 1 (yani Bilioni elfu moja) kwa ajili ya safari za nje na za ndani.
Itoshe tu kusema kwamba Nduli Idd Amin Mama anachezea kodi zetu mpaka sio poa.
‼️🚨FAKE NEWS HADI MWANANCHI??‼️
Nyie Mwananchi huu waraka mnaosema ndo wa Kamwaga? Nyie ni waandishi au bloggers? 🙄 mnaandikaje eti “waraka” wa nani ? So hata waraka wangu mtautoa kama headline? Shoddy job!
Tuelewe kuwa Senate ya Marekani ko very ttansparent! Kila kitu kiko mtandaoni!
Tokea May 19 ilivyotolewa muswada huu hakuna marekebisho YOYOTE yaliyofanywa! Leteni ushahidi wa marekebisho mapya tokea May 19! Pili hata hayo mnayoongelea si kweli!
Hoja 1: ushirikiano wa kijeshi
Hivi ndivyo muswada unasema kuhusu mahusiano ya kijeshi na usalama
“Kufanya tathmini ya uhusiano kati ya
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, ikijumuisha-
(A) ushirikiano wa kijeshi na usalama, ikijumuisha mafunzo; mazoezi, uhamisho wa silaha, na ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi, ujasusi, au vyombo vya kutekeleza sheria;”
Sasa kufanya tathmini kupo na ikiwa watagundua haiendani na maslahi yao wanaweza kusitisha uhusiano au kuweka vikwazo! Hii wameachia Executive kuamua!
Hoja 2:
Sekta zilizowekewa exception yaani hazitawekewa vikwazo ni
(1) msaada wa kibinadamu;
(2) msaada wa kiafya; na
3) msaada wa kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, na asasi za kiraia nchini Tanzania.
Hakuna suala la kijeshi katika orodha hii ya exception! Maeneo yaliyowekewa ring fencing yaani kwamba hayataathiriwa ni haya matatu! Hiyo ya misaada ya usalama nionyesheni labda mna version yenu!
Narudia leteni nakala ya draft mliyo nayo iliyorekebishwa baada ya May 19 kama mnavyodai! Nje ya hapo hii ni fake news!
Sambazeni hii taarifa ifike kwenye simu ya kila mtanzania
Kutoka kwa @MariaSTsehai
Watanzania, mambo yanaendelea vizuri. Dunia ipo na sisi. Msiwe na hofu, tutashinda. Bado kuna kishindo kinakuja. Keep on fighting.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu
Watanzania, kuna takataka inatembea juu ya Mswaada wa kumshughurikia samia suluhu hassan na genge lake. Takataka hiyo inasema kuna vipengele vimeondolewa. Puuzeni. Mswaada unaanza kupigiwa kura wiki ijayo.
Nimesikia Kombo na Yuda wanakuja DC, watatukuta rada.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu