@ledamalekina mkuu si wewe ulikuwa MC kwa io event ya ku sign vitu haziko? enyewe kenya Mwenye tumbo ndio hushiba wacha wakenya tuumie Raila has never been for the people we've always thought he was for the people
@jonesmanoti Yeye alipewa a present .... ...saa hii anajikaanga tu na mafuta yake mwenyewe ... hapa hakuna case ..labda wakule tu pesa wafanye vile wao hufanya