“If you want to go far in life, train your heart to forgive.”
“Train your heart to stay calm in difficult situations.”
“Train your heart to love unconditionally.”
“Train your heart to keep going even when it’s hard.”
" Ukiona Giza Maishani Kwa Mtu Mwendee Huenda ukaleta Nuru Maishani Mwake, Ila Ukiona Nuru Maishani Mwake Subiri Akualike Usije Ukaleta Giza Maishani Mwake".#UpendoniKitenzi#
so tangu kipindi hicho hawa jamaa ndio wamekuwa watu wangu wa Nguvu kwenye suala zima la mavazi juu mpaka chini. Wana nguo za aina zote yaani za Me & Ke, VIATU SASA 🙌 we kajionee mwenyewe.
Wanapatikana Kahama Mizigo hutumwa kwokote Tanzania nzima
Instagram: samrack_executive
basi kufupisha usaili ukakamilika na majibu yalitolewa siku ileile jioni na Nilikua Mtu mwenye alama za juu kuliko wengine wote 56 😂😂.
Nikarudi sasa Kwa CEO nikamwambia mkuu naomba LIPA NAMBA 😂😂 akacheka sana, najua umeelewa kwanini alicheka,
Kujiamini na Mungu viliniongezea kujiamini na nilipofika tu kwenye chumba cha mahojiano Mama mmoja akaniambia you “look sharp” yani hapa akimaanisha nimependeza, kimoyomoyo nikasema aaah mambo si ndio haya 😂😂,
nikacheka nikiwa nimepigwa na butwaa nikadhani ni utani ila ni kweli wale jamaa hawakuchukua hata senti kwangu. Siku inayo fuata saa mbili juu ya alama nikafika kwenye eneo la usaili na bahati nzuri nikawa mtu wa kwanza kufanyiwa usaili, mavazi, maandalizi,
wa yale maduka ya nguo Pale kahama nikatupia jicho kwenye Matshirt yao yalikua yameandikwa SAMRACK EXECUTIVE ELEGANCE Nilipenda sana huduma zao, Sasa chakushangaza ile siku wakaniambia tumekupa hizi nguo nenda kwenye interview usipopita usitulipe 😂😂😂,
Nikachagua changua pale basi nikapata kiwalo kikali sana. Jamaa (yule rafiki yangu aliye waita sasa), akawaambia jamaa( Mimi ), anaenda kwenye interview (Usaili) kesho. Kila mtu akasema kwa appearance tu umeshapita nikawa nacheka tu. Kumbe ile siku bwana nilihudumiwa na CEO
mabegi mawili, wakatusalimia wakasema wameleta mzigo, nikamuuliza jamaa hawa ndio ulio waita jamaa akaniambia Case Closed, wakafungua mabegi yao walikuwa wamebeba Viatu Mashati Suti na Suruali kadhaaa aiseee wale jamaa walikuwa wamebeba exactly my test of Dresses.
ni nyingi jamaa akafika hotelini tukala soga za kutosha akaniambia ngoja nipige simu moja tu, [ Endelea kusoma uone mwisho ulikuwaje ]. Basi bwana simu ilipigwa na wala nusu saa haikuisha nikasikia mlango wa chumba tulichopo ukigongwa hodi, nikafungua wakatokea majamaa wawili na
Baada ya lisaa nikanyanyka nikitanabahi nikaanza kufanya juhudi za lazima ili kupata cha kuvaa kesho, nikakumbuka kuna rafiki yangu mmoja yeye yupo Kahama nikamtafuta nikamweleza yaliyo nisibu, na ninacho hitaji kwa wakati ule. Jamaa alifurahi sana kusikia niko pale Dakika tano
Kibishi nikafika mpaka hotelini nikatulia kidogo nikapata Korosho na sharubati ya Machungwa nikapumzika nikiwa na mawazo ya kesho navaa nini.Kibishi nikafika mpaka hotelini nikatulia kidogo nikapata Korosho na sharubati ya Maembe nikapumzika nikiwa na mawazo ya kesho navaa nin
nikiwa njiani kuelekea hotelini Begi langu lote na vilivyo ndani vikalowana na kesho nahitajika niwe nimependeza nikauvunje kwenye Usahili 🥹🥹 | hii ilikua sehemu ya huzuni sana kwangu nikajisemea kimoyomoyo “ama kweli ng’ombe wa maskini hazai😄”.
muda ulipofika nikasafiri kuelekea kahama kutokea Geneva of Africa .Basi nilifika Kahama mida flani hivi ya Jioni, hali ya hewa haikuwa nzuri sana. Basi nikashuka kwenye usafiri nikaanza kutafuta namna nifike kwenye hotel 🏨 nikaoumzishe mbavu. Mvua kubwa ilianza kunyesha ...