@YerickoNyerereT Deal la DP world iliyoletwa na CCM, kwa hiyo wakina Mwabukusi, Dr Slaa, Mwamakula, Wenje, Maria na Wazalendo wengine waliolipinga Live mpaka Bunge likabadili sheria walilipwa na CCM waje kupinga deal la CCM?!! Mbowe hakika kazungukwa na wahuni wapumbavu
Miongoni mwa viongozi wengi wa Chadema @HecheJohn naweza kuwa karibu naye (kimtazamo) kuliko wote. Fisrt time tulikutana 2015 kwenye kampeni Tarime na nimejifunza mengi kutoka kwake tangu hapo. Sina sababu yoyote ya kuacha kumuunga mkono awe Makamu wa Mwenyekiti Chadema.
Kwa wiki mbili mfululizo nimekusihi sirini na hadharani ukubali kugombea Umakamu Mkt wa chama taifa. Makamu Mkt wa chama ni Mkt wa kamati ya maadili lazima awe na mikono misafi (asiye na mawaa), wewe ni MUADILIFU nitakuunga mkono hadharani na sirini.
Mnalaghai umma ati ninyi ni wana mageuzi.
Kumbe ni extension ya dola.
Mnapokea pesa muwe gharesha ya upinzani.
I feel sorry for avid clueless supporters.
Na wote wenye wana nia ya dhati ya mageuzi.
Mnawatumia ku-bargain pay.
You ain’t real, buddies. Repent or perish!
Kwa kweli HECHE is an AMAZING human being.
I love this man’s COURAGE, his HONESTY, his HONOUR, anavyokumbuka FADHILA na huku akielewa kuwa FADHILA inakulazim utoe heshima lakini haikulazim uvunje PRINCIPLES zako, anavyokumbuka na kuenzi MISINGI ya CDM
I wish him all the best
"Uchaguzi wa nchi hii (Tanzania) unaibiwa muda mrefu sana tangu miaka ya 90 baada ya uchaguzi wa vyama vingi wakina Mrema waliibiwa akaja Lowassa akaja kila mtu anajua Lowassa alishinda. Ni kweli kwamba Lowassa katika upitishwaji wake kuna watu ambao hawakuunga mkono lakini alishinda uchaguzi kwa CHADEMA aliibiwa uchaguzi
"Lissu ameshinda uchaguzi, haya yote yamekuwa yakifanyika kwa sababu mfumo uliopo wa uchaguzi ni mfumo wa CCM wa chama kimoja unaopandikizwa kwa vyama vingi." - Heche.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @ChademaTz John Heche @HecheJohn akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo karibu na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza.
@_Tajiri__@frediejustine Hakusema aliitwa na zitto,alisema alivutiwa na zitto anavojenga hoja bungeni. kuitwa na kuvutiwa ni vitu viwili tofauti. nimeusikiliza mdahali kuanzia sa tatu na nusu mpaka unaisha nimechelewa hadi kulala
VIDEO:
Kutoka ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza haya ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @ChademaTz John Heche @HecheJohn na wanahabari unaofanyika jijini Mwanza leo, Jumapili Januari 05.2024
Jambo TV inakuletea mubashara matangazo ya mkutano huo
@_Tajiri__@frediejustine kuna sehemu pia ume tweet ivi
....hivi huoni tafauti kuingia sababu ya mtu means mtu anakuita njoo huku tufanye kazi,na kumuona mtu anavoongea bungeni na kuvutiwa naye,ivo mwenyewe ukaenda ni tofauti kabisaa siju lakini level ya Elimu yako, level yako inawza ukawa sawa
…Hivi mnajua Lyenda na Gwamaka Vijana mlosema ni smart walitupwa nje ya Mifumo ya Chama wao pamoja na Rose Mayemba,
sio wao tu alitupwa Msigwa huku Heche na Lema kushughulikiwa na kushambuliwa vikali
Pia Tundu Lissu akawekewa Mgombea nafasi ya Umakamu
Tumefikishwa HAPA TULIPO
@Sirjeff_D Spay wa Ccm yule.......wamepandikizwa makusud ndani ya chadema......huo ndio ulikua mpango mkakati wa Ccm.............wamekuja kukamilisha kazi
Ila kuna vitu vinashangaza sana
Yani mtu analima matuta mawili ya matembele Kigamboni, bila aibu ghafla anakuja kwa public anaanza kumfundisha Tundu Lissu sheria