Usiwai simp ju ya Wet crack. Masimp huwa na most miserable painful love life. Pale 2024 nikiishi Mtwapa nilisimpia dem fulani mali safi ajab. So back then I used to go to the library at Mombasa CBD, hiyo national library ya hapo karibu na Blueroom Restaurant.
Hakuna kitu kama Ebola. USA inatupima. Hao wasee ni valuable minerals wanaiba kutoka DRC. After hizo vita walicause zote huko DRC, walinotice watu wameanza kukua united. They had to look for a way ya kudivide wasee. Na one of the way ni kucreate virus. Ebola has been the common virus. Kama ni real ngoja uone vile watasema ikiisha. Hakuna kitu watasema. Check from years back vile huwa wanasema. Nothing at all. They will go in silence. Hata hapa Laikipia Airbase hakuna quarantine facility hapo. Kama iko watuonyeshe mahali preparation zimefika vile wanafanyanga time ya kura. Hizi narrative zote kuna only a few wanabenefit. Sisi walalahoi ndio tunaumia juu kila kitu unasikia kwa news huwa unatanguliza emotions. So kama bado unaamini Ebola inaexist you have a long way to go.
Lakini let's think here, hio 250M Patrick Analo amepatwa nayo kwa nyumba in cash mbona hakuichannel to any bank? Na kama he can hold such an amount what about them?
Let me address hii story ya Antoh since lots of you mnakaa mmefurahia sana after he got arrested 2 days back, what made him go there is nothing related to his political stands na pia hio pesa anafaa kutoa bado watu wamemtoa and he might be released today. You guys are being so personal huku and there is no fan in kulala ndani.