Ila Mkurugenzi Nacharo asee🥹. Imejini dragon zimelala namna hii. Na alikuwa na ruti fupi sana isiyochosha gari Dar - Tanga.
Kazi ya Ukurugenzi ni ngumu sana. Ukiona Mkurugenzi yupo kwa gemu miaka 20+ mheshimu sana. Mambo yalibadilika sana baada ya kuchukua vyuma Vingunguti🙌.
Fahamu mauaji ya kikatili Ilala💔
Imagine Mtu anaua ndugu yako na anamfukia kwake🤯
Hapa ni Jijini mwaka 2014 february, “Jamaa alimuua kisha akamfukia kwake”
Taarifa hii kutoka kwenye vyombo vya habari inashitua sana mioyo ya wananchi wa mitaa ile juu ya mauaji haya ya kikatili.
Hamady Ally alikua ni bosi mkubwa sana pale Jijini,hamady Ally alikua na rafik ake wa kufa na kuzikana wa kuitwa Farahin Maluni.
Na katika siku ya kawaida tu Farahin anamfuata rafiki ake bosi kubwa Hamady Ally na kumuambia “ndugu yangu kwa uzoefu wako wa kuagiza mizigo na magari nje ya nchi hivo naomba uniagizie gari aina ya Fuso nje ya Nchi”
Hamady Ally anamwambia Farahin ndugu yangu usjar kabisa juu ya hilo subiri gari lako ndani ya siku 30 tu, Utalipata bila shida yoyote.
Mwana anaondoka akifahamu kuwa atapata gari kutoka kwa tajiri yule, Ghafla mambo si mambo tena.
Wahenga wanasema Cha mtu mafii na Kinachotokea kinastikitisha Jamii na Taifa kwa ujumla.
@kinlop_ 🧵👇🏽
Hii ni shule ya Kata ambayo ni ya kisasa iliyojengwa Ukonga Dar es Salaam yenye ghorofa 4 na yenye lift ambayo zaidi itakuwa inatumiwa na wanafunzi wenye mahitaji maalamu. Shule hii imejengwa kwa mapato ya ndani ya zaidi ya Tsh Bilioni 2.
Kesho SHABIBY LINE wanaanza ruti mpya kutoka Dodoma kwenda Tanga ratiba ya saa 12 jion ndo gari inatoka.
Wanapita njia ya Chalinze.
Hapa mnasemaje wakuu
Bei mpya ya Mafuta kwa Mwezi Juni, 2025
Dar es Salaam
Diesel 2,826
Petrol 2,885
Kwa mwezi huu mzigo umeshuka bei kidogo.
Shuka chini kuona na mikoa mingine
Nguvu ya MWANAUME Inatoka Katika Hizi Sehemu 4:
1). Pesa
2). Ukimya
3). Connection—(a.k.a Network)
4). Kutumia Muda Mwingi Kuwa Peke Yako
PS: Zingatia zaidi Namba 2 & 4!
NJIA TATU RAHISI ZA KUBAINI KAMA ANAKUPENDA
• Kiwango ambacho anaweka sheria kwako
• Kiwango ambacho anatamani sana attention yako
• Kiwango ambacho anacho'jitoa katika uhusiano huo
Wanawake hawaweki sheria kwa wanaume ambao wanavutiwa nao; badala yake wanavunja sheria kwa ajili yao. Kama anaweka sheria kwako, jaribu kuzivunja.
Majibu yake yatakufahamisha ikiwa anakupenda au la.
Kwa mfano, umekutana nae hivi karibuni na alikuambia hapendi kuguswa. Sasa hiyo ni sheria unayohitaji kuvunja ili kuthibitisha msimamo wake katika uhusiano. Ikiwa yuko tayari kukubaliana na wewe, atabadilika. Vinginevyo, atabaki na msimamo wake kila wakati umgusapo.
Wanawake hawana sheria kali na isiyoweza kubadilika kwa wanaume wanaowapenda.
Pili, kiwango ambacho anatamani sana attention yako ni ishara nyingine ya upendo.
Je, huwa mkali wakati uko karibu nae au kwenye simu?
Je, anakusumbua kwa simu ili kukujulia hali?
Je, daima ana hasira unapokua haumjulii hali?
Hizo ndizo dalili za moja kwa moja kwamba yeye kweli anavutiwa nawe au la.
Mwanamke ambaye hahitaji umakini wako anapata umakini huo mahali pengine. Kuwa makini!
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, ni kiwango ambacho anafanya kujitoa katika uhusiano.
Hizi mbili za mwanzo zimeunganishwa kwa njia fulani na hii ya mwisho, kwa sababu kama anavunja sheria kwa ajili yako, tayari anafanya kujitoa katika uhusiano.
Vivyo hivyo, ikiwa anakuzingatia mara kwa mara, pia anafanya kujitoa katika uhusiano.
Namna nyingine za kufanya kujitoa zinaweza kujumuisha kupika kwa ajili yako, kununua vitu visivyotarajiwa kwako kwa pesa yake, kukufanyia usafi kwako etc.
Kumbuka mwanmke naturally ni mpokeaji sio mtoaji.
Jambo moja unalopaswa kuelewa ni kwamba wanawake hujaribu kuwafurahisha wanaume wanaowapenda kwa vile walivyo, bila kujali ni kidogo kiasi gani. Haijalishi anachokupa, muhimu ni nia yake ya kutoa.
Kama umesoma mpaka hapa na huoni alama za mpenzi wako au hauwezi kuona akifanya angalau moja ya mambo haya, basi hupendwi katika uhusiano wako na upo katika hali mbaya zaidi kuliko mwanaume ambaye hayuko katika uhusiano.