@officialshakuu Hii inagusa lakini kitu ni kimoja tu tazama mbele kama unataka kufanikiwa unapo kuwa una kwenda mbele na kurudi nyuma ndio mwanzo wa kujitafutia kifo na shida zingine
@nonstopfrale Hili swala nilijua simu yangu kumbe tuko wengi
@YasTanzania_ hawa jamaa toka wamekuja kila kitu kimekuwa shida kuna kipindi hata Internet yenyewe miyeyusho