@Dr_DGwajima Hii shule kam mim ningekuwa waziri wa elimu mitiani yao ingefutwa na kusahaulika kabisa tuchukulie kama hawakuepo utovu mkubwa wa nidhamu hii inaonyesha waalimu wanaowafundisha hawana maadili wanahaibisha walimu wetu yani wafutiwe mtihani kabisa kama ninkidato cha 6