"Katika sekta ya elimu tumepokea bilioni 20.3, lakini shilingi bilioni 8.1 zimetokana na tozo na fedha hizo zimejenga vyumba vya madarasa 401 mabweni mawili lakini tumejenga shule mpya za sekondari 11" - Zainab Telack, Mkuu wa mkoa wa Lindi
#FursaZaUchumi#EastAfricaTV