🤗 uwe Islamic ☪️ uwe Christian ✝️ woote wawe kitu kimoja! Muislam aingie kusali kanisani, Mkristu aingie kuswali msikitini🤝, yaani unaingia kusali sehemu kuringana namuda wa ibada umekukuta ukiwa mazingira yapi! Nahiyo itawahusu waamini wa (WAKRISLAM) pekee! Ndio inawekana!
@Tinolove15 Dah nime feel pain utazani nimimi ndo muhusika!! By the way jamaa alimjibu pwh saaana! Kilakitu nimapito and Dunia huwa ina kaushenzi kake ambako razima kakurudie ukimfanyia mtu upuuzi! Tuwaache waende tu kwaamani but one day tutakutana humu humu duniani 😭😭
@jwise017 Jidanganyeni hivo hivo... Hizo video zoote ni edit ya huyo dada nahata zayule jamaa moto wa konyagi unauelewa wewe? et ukate chupa nzima bila hata kukunja sura mnaleta utani aisee
@AkiliBrain1 Wabongo acheni kupenda vya bure! Nirahisi saana kufanyiwa Cyber attack kwakupitia Wifi.. afu unaenda ku install App ambayo hujui Source yake then App hiyo inakutaka uruhusu ingilie mfumo wa cm yako kama files, location, Camera, Setting, nk ivi kwa akili yaharak tu kunausarama hp
@nulphin Coding nibonge lamchongo saana sema Wa Tz hawajawai elewa kutwa ku force watoto wasomee ualimu🤣🤣// kiukwer if you know coding you can be whatever you need to be... Japo sio ishu nyepesi kama inavotazamiwa.. ila ukiianza ukiwa kinda then ukakua nayo ni simple saana!
@Kingvannytz_ 🤣🤣🤣 hiyo milioni 38,325,000/= ili uipate kwa mwaka inabidi per day uweke 105,000/= sio 500, 500 mala mwaka ni 182,500/= Asa hiyo 105,000 per day unaitolea wapi kaka? Utajiti sio simple kiivo!
@Kirikuu20 Hiyo Tiba nikiboko yamagonjwa yooote ya tumbo hasa amiba na Taifodi. An hapo wakiiminya hiyo dawa ndani baada ya dakika 2 unatakiwa utoke speed kama 180 kwenda Chooni.. make muendesho wake sio wakitoto