Dear Son
Ikiwa watu million 1 wanakupenda
Jua Mimi ni mmoja waoโฃ๏ธ
Ikiwa mtu mmoja pekee anakupenda sana
Basi ni Mimi.โค๏ธโ๐ฉน
Ikiwa hakuna mtu anayekupenda ๐
Basi juwa kuwa NIMEKUFA
UKICHUKUA MKOPO WA MILION 50 BANK
ITAKUCHUKUA MIAKA 35 KUKAMILISHA MALIPO YA MKOPOโ๏ธ
UKIENDA KUIBA BANK
KIFUNGO CHAKE NI MIAKA 10 โ๏ธ
SITAWAFUNZA KILA KITU .......๐ถ
Philipe Scolere
"Nilipoingia Locker room kuwaelekeza wachezaji Nini Cha kufanya,
Nikamkuta Cafu yupo Kona ananitizama,pembeni yupo Ronaldo,kulia namuona Ronaldinho,pale namuona Kaka nyuma yake Kuna Adriano na R.Carlos
Nikajisemea moyoni sasa hapa nitaelekeza Nni?"
This was BRAZIL
MTI mmoja unaweza ukatengeneza njiti 10,000 za viberiti,
Lakini Njiti Moja ya kiberiti inaweza kuchoma MITI 10,000
Baya Moja linaweza Haribu mema Yako yoteโ๏ธ