@godbless_lema Tangu lini Bibilia ikasuport siasa kanisani au mmesahau Bwana Yesu alivyofukuza watu waliokuwa wamegeuza kanisa kama gulio kazi ya kanisa ni kulikmbea Taifa na sio nyingine
@Rydx_017 HUYO ATA WATOTO WAKE WANATEMBEA NA MABAAMAEDI WA HAPA KWA IDII MPAKA WENGINE WAMEZALISHWA SASA KAMA NI NABII WA AINA GANI NAMKUBALI SANA KAGAME
Kwa nini Mkurugenzi wa TRC asikubali failure huu upuuzi inaondelea hapo SGR anafikiria WATANZANIA ni wajinga kwani plan ya SGR ilikuwa ni kubeba abiria au mizigo hawaoni aibu au kazi ni kupiga tu halafu anaenda kwenye media anaongea upuuzi