Isaya 12:5 Mwimbieni BWANA; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote .Hujambo na karibu ndani ya #Mavunodrive#IjumaaYaShukrani tumalizie shughuli za siku na wiki kwa pamoja .unasikiliza ukiwa wapi ?
Whatsapp 0110089270 twitter @bhusema@bens_mwanza