Nina mdogo wangu ana saluni ya kike.
Ipo Mbezi Beach Africana barabara ya kuelekea Salasala Magengeni.
Kanyooka sana hata kama una komwe kama kipara bado atanyoosha maelezo na utapendeza
Mpigie hapa067 914 6211 or 0769507435
Please rt 🙏
Our call is for the government to change policies and laws to provide free pads for every girl in the country.
Sign our petition and be part of the change:
https://t.co/FG0WQy4Cof
Yoga is a great practice for both the body and the mind, it offers peace and mindfulness to its lovers and helps them get through daily stress.
#yogaforlife🧘♀️
Yoga haitutii mbali na ukweli au majukumu ya maisha ya kila siku, lakini huweka miguu yetu kwa uthabiti na kwa uamuzi katika uwanja wa vitendo wa uzoefu. Hatuzidi maisha yetu; Tunarudi kwa maisha ambayo tumeacha na matumaini ya kitu bora zaidi.
#yogaforlife
Tukutane kesho saa 8:00 asubuhi mpaka saa 9:00 asubuhi na 9:00 asubuhi mpaka saa 10:00 asubuhi pale Mizimuni street, Kawe beach near K-NET house karibuni sana.
#yogaforlife
It is indeed true that by practicing yoga we gradually improve our ability to concentrate and to be independent. We improve our health, our relationships, and everything we do.
#yogaforlife🧘♀️
YOU EITHER GET BITTER OR GET BETTER. IT’S THAT SIMPLE. YOU EITHER TAKE WHAT HAS BEEN DEALT TO YOU AND ALLOW IT TO MAKE YOU A BETTER PERSON, OR YOU ALLOW IT TO TEAR YOU DOWN. THE CHOICE DOES NOT BELONG TO FATE, IT BELONGS TO YOU
#yogaforlife🧘♀️