@ummymwalimu Kazi yako nzuri, but huko mbeleni inaweza wekwa value added tax ya afya kwenye bidhaa yoyote muhimu, hata 1% tu kama ilivyokua VAT ya REA kwenye umeme, sasa hii kwaajili ya under 5 na above 60, kisha vifurushi vikashushwa, vya watoto. Na huduma yakaendelea.
@AfricaOne_ Nimegundua watu wengi wanapotoshwa sana na caption. Hii sio Mara ya kwanza waandishi uchwara wanapotosha title ya Habari na wabongo wanajaa kuiamini tofauti na uhalisia.
@makumbawaleo_5n Chukua clinical assistant asie na Leseni, Ana Cheti Yuko vizuri sana. Nikuletee umlipe iyo hela. Kinyume na hapo, hutopata Co anaejielewa na Leseni Juu umlipe huo umasikini na dharau😂300k? Are you serious????😀😀😀
🫀💊Anti-arrhythmic drugs are an absolute struggle to learn
Let’s simplify it a little based on mechanism of action
You are going to remember the phrase “Some Block Potassium Channels”
Some do… but how is that going to help you remember?
Class 1 Drugs - “Some” = Sodium Blockers
Class 2 Drugs - “Block” = Beta Blockers
Class 3 Drugs - “Potassium” = Potassium Blockers
Class 4 Drugs - “Channels” = Calcium Channel Blockers
@DrAkhilX The "triangle of safety"
Clinical Relevance: This area is used for the safe placement of chest tubes (thoracostomy) or for needle decompression, as it minimizes the risk of injury to major muscles and vital organs.
If you belong to ANY of these healthcare fields👇
• Doctors
• Nurses
• Dentists
• Physiotherapists
• Dieticians
• Radiographers
• Pharmacists
• Lab scientists
• Optometrists
• Public health professionals
• Healthcare assistants
• Medical content writers
Drop a ❤️ in the comments & follow others who like your reply.
Let’s build a strong healthcare network! ✅
Retweet if possible 🫣
@kilepi_tweve Among of the failures hawa wahamasishaji wengi wanayo ni communication skills. Sijui shida ni Elimu ama Vipi! Huwezi mkuta Lisu anaandika utumbo Kama huo. Inaonyesha kabisa mtu huyu Hana Nia njema tofauti na mawazo ya wengine kupinga udhalimu!
@ajirapsrs Nimeomba ajira kupitia ajira portal sijaitwa kwenye interview na sababu haikuwekwa. Huu si uhuni? Kwanini mnaamua kwingine kuweka sababu kwingine mnaandika tu received na hamuiti mnaita mnaowajua ninyi na sababu ya kutokuita wengine hamweki???? Inasikitisha!
@ajirapsrs Lakini pia unakuta Hr kataja digrii name, Kisha akasema au zinazoendana. Why ninyi mnaamua kustick na iliyotajwa tu? Au mnasema masters lazima iendane na degree. Kwaiyo nyie mnajua Kuliko vyuo vikuu wanaodahili na kuweka criteria?
@ajirapsrs Kwanini baadhi ya interview za kuandika hamtoi Matokeo? Watu wanaitwa kimya kimya haieleweki mgawanyo wa marks. Why? Kuna harufu ya kukosa usawa. @ajirapsrs