1. MAYAI
Usianze kufuga kuku.
Tafuta mfugaji mwenye mayai mengi na bei nzuri.
Tuseme tray moja unanunua 12K.
600K ÷ 12K = trays 50.
Ukipata mteja anayenunua kwa 15K:
50 × 15K = 750K.
Tofauti ni 150K.
Ukirudisha hiyo pesa kwenye biashara, unaanza kununua trays nyingi zaidi.
Mwenyezi Mungu atukumbushe katika kila shida kwamba urahisi tayari unakuja.
Amri yake ni kamilifu, wakati wake hauchelewi,
Rehema zake ni kubwa kuliko chochote tunachoweza kufikiria.
Tawakkul, daima. 🤍🤲🏻
Mpe mwanaume burudani, mapenzi na faraja, na anaweza kusahau malengo yake.
Mpe mwanaume upweke, kuvunjika moyo na magumu, bado atatamani kuushinda ulimwengu.
MAUMIVU kwa Mwanaume ni baraka, sio laana.
A man can be paying all his bills & taking care of his business but still get labeled “broke” because he won’t bankroll a grown woman. At this point “broke” just means “won’t fund me.”