@ExMayorUbungo mkuki kwa nguruwe mtam kw bndm mchungu ambae huisikii haya maumivu huwezi jua kwahio bora tu kukaa kimya yaani nilipie frem na kodi bizaa 1 tuuze we usilipe kodi kisa huna frem hii haipo sawa bora watafute utaratibu mzuri uwe sawa kwa wote sio wakuumiza upande mmja kod n maendleo
@chris_mwingira9 wanawake wengi sikui wanawazaga nn mda mwingi wanawaza mtu upo na wanawake wengine upo unatafuta maokoto ye anakwambia upo na madem tuishi nao kwa akili tu tuwe na busara sana maana unaeza jikuta usha haribu medula oblangata ya mtu
@fumbokhanJr huyu anajitafuta ili baadae awe kiongozi hizi mambo ni kama movie tu ila baadae kwenye siasa atakua amejenga kufaamika sana saivi ni kama maigizo
Eunice baada ya kupelekwa chuo πππππππππππππ½ππ½
Asee nimecheka ππππππ½
Video kwa CommentsππΎππΎ
@MiriamMkanaka@iamcleopatricia hizi ndo ndefu kwa kutumia mabasi
dar to bk 1415
dar to kgm 1245
dar to mara 1351
chuga to mbeya 1005
dar to karagwe kayanga 1427 hii ndo ndefu