Any man who gets married is a gambler, you're literally betting your whole life and money on a person who can simply wake up and say they're DONE and take away half of your money.
Bro to Bro:
1. Ukitaka kuishi kwa amani kwenye ndoa hakikisha una kazi au mishe ya kukuingizia pesa kabla ndio unaoa.
2. Usitegemee unavyowasaidia washkaji zako kwa hali na mali kwamba siku na wewe ukipata shida lazima wakusaidie utaumia sana ikae kichwani.
3. Usishikishwe akili na watu tumia akili yako kuchanganua mambo kabla ya kuchukua hatua.
4. Usiwe mchawi kwenye maisha ya watu haipendezi ukiona washkajinwamekupita its okey kuona wivu na kuumia sisi ni binadamu ila akili ni yako kuamua kupambana na wewe kufikia pale au kutulia na mishe zako lakini si kuanza kutafuta maneno watu.
5. Tafuta mwanamke wako mmoja mpende sana wala usijikaze uonekane bandidu ndio akuogope ...u deserve kupenda mali yako surely upendo utarudi na heshima juu.
6. Kama unatoka kwenye familia za kimaskini hakikisha unawaekea mazingira mazuri ya kuishi wazazi wako Mungu amekubariki ili uje kuwainua wengine.
7. Hata maisha yawe magumu vipi hata upate aibu vipi usiwaze kujitoa uhai hakuna magumu yasio na mwisho kila binadamu ana historia yake si nzuri lakini amechagua kuishi na kusonga mbele kufanya yalio bora zaidi.
8. Stress za maisha zisikufanye ujiingize kwenye ulevi, umalaya, ushirikina, matumizi ya madawa, kutukana watu na kupiga au kuua... kaa mbali na mitandao jitibu afya yako ya akili uwe salama.
9. Usijiingize kwenye migogoro ya urithi au ardhi… ni haki yako kupigania haki yako lakini unapoona mambo magumu unaweza kukaa pembeni wafaidi wao ukafanya maisha yako.
10. Ukipatwa na wakati mgumu ongea na Mungu tafuta mahali palipotulia ongea na Mungu mueleze kila shaka unalopitia huwezi bila msaada wake akufungulie njia akusaidie usiumbuke na uwe na imani atatenda.
Chukua hii...👇
Uwekezaji na Biashara 15 za siri unazoweza kufanya na kutengeneza faida kubwa Pasipo muajiri na watu wa karibu kujua...
Kama uko kwenye ajira isiyoruhusu biashara...
.....
Unajua watu wa namna hii mara nyingi wanaangaika kuwa na vyanzo vingi vya kipato lakini hawajui nini wafanye.....
Harsh Truth: People won’t respect you at the bottom, they’ll ignore you in the middle, and they’ll hate you at the top.
You’ll never get everyone’s approval. So just do you.
Instead of binging Netflix for 1 hour tonight...
Spend that hour on Craigslist looking at empty rental properties.
(You can get paid to list them on Airbnb)
Do this for 30 nights & you could land your first deal making $2,000+ per month.
Here's the exact process: