Wewe ni mwanaume
Kuna wakati utakuwa na siku mbaya, kumbuka hili, Hakuna mtu atakuja kukuokoa.
Hakuna anayejali visingizio vyako, mood yako, au mapambano yako.
Dunia inaheshimu matokeo tu.
Kwa hiyo simama imara, usikate tamaa Jiamini na endelea kusonga mbele
@fbuyobe Huwa nawaambia watu
๐Dunia ya Sasa Unaweza ukachokozwa na Bado Ukashonwa Pia.
Dunia yenye wanawake Zaidi ya Bilioni 3
Usikubali mwanamke mmoja akuvurugie maisha Yako. Hata mwenyezi Mungu anaweza Asikuelewe katika hili.
#harshreality.
@Cutyhusnah Hata kama itachukua miaka 10, Ni muhimu serekali kujifunza kujali watu na utu wao, kila mtu ana hasira na uvumilivu siyo woga. Pande zote zimekosea na funzo limepatikana. Hakuna kukaza fuvu ili kuelewa hilo.