Nisiwe mnafiki Ndugu zangu nimefarijika sana na kipigo ambacho Man City wamekitoa kwa wale Jahazi Modern Taarab maan kama wangeshinda tusingekaa wiki hi.
Wewe je?.....π
MAYELE ALIJICHIMBA KABURI MWENYEWE.
1: Alianza kusema Mamelodi Sundowns walitengeneza hila ili anyimwe VISA ya kuingia S.A kwenye mchezo wa CAFCL.
2: Azam FC wanakamia mechi
3: Tanzania ilicheza na mabeki 5 kwenye mechi yao AFCON
4: Leo anasema anatumiwa Majini. ππ