Inalilahi wainalilahi Rajiuni, Mungu ampe kauli Thabiti Ndugu yetu,
@zittokabwe Kwa kweli inapendeza, Kiongozi, Akiwa na wapiga Kura, Katika vipindi vya Raha na Shida,
Uongozi ndiyo unataka hivyo
SHEIKH ISSA PONDA KUUNGURUMA DAR .
Mwanachama wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tz πΉπΏ Sheikh #PondaIssaPonda akiambatana na viongozi wakuu wa ACT Wazalendo atafanya mkutano wa hadhara ktk viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar siku ya tarehe 14 Juni 2025.
#KaaTayari ....! Baada ya kujiunga na @ACTwazalendo , kwa mara ya kwanza Mpambanaji Sheikh #PondaIssaPonda akiambatana na viongozi wakuu wa ACT Wazalendo atahutubia Taifa kupitia Mkutano wa hadhara wiki hii. Unadhani ataanzia Jimbo gani?
KATIBU MWENEZI NCCR MAGEUZI AJIUNGA ACT WAZALENDO
Katibu Mwenezi Taifa wa NCCR Mageuzi Ndugu Elisante Ngoma amekihama Chama hicho na kujiunga na @ACTwazalendo . Elisante amepokelewa na KM wa ACT Wazalendo Ndugu @AdoShaibu leo tarehe 9 Juni 2025 katika Ukumbi wa @JumaDuni .
Leo Juni 05, 2025 Viongozi Wakuu wa @ACTwazalendo wataongea na vyombo vya habari.
Muda: Kuanzia saa 5.00 asubuhi
Eneo: Makao Makuu ya Chama, Magomeni, Dar es salaam.
Waandishi wote mnakaribishwa.
Abdallah Khamis, Afisa Habari, ACT Wazalendo.
4 Juni 2025.
NTOBI AJIUNGA @ACTwazalendo@EMMANUELNTOBI3, aliyekuwa Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Mkoa wa Shinyanga amehama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo. Ntobi amepokelewa leo tarehe 3 Juni 2025 na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu @AdoShaibu
Leo Mei 27, 2025 β Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa, Ndugu @othmasoud, amekutana na viongozi wa chama Mkoa wa Mara. Kikao hiki kimejadili mwenendo wa siasa nchini na mwelekeo wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu. Huu ni mwendelezo wa #OperesheniLindaDemokrasia.
#MuhuniHasusiwi