@Chahali And all those few minority wapo nje ya nchi wakiwashinikiza majorty waliopo nchini waandamane na wachukue hatua mkononi kuwadhuru wale wanaowakosoa wao keyboard warriors, yaani wao wanaobwabwaja mitandaoni wanawaona waliopo nchini ni “bunch of useless people”.
@Chahali Hii ni njia maarufu inayotumiwa na watu wengi kupoza machungu/maumivu ya moyo yatokanayo na kumuoana mtu unayemchukia sana aki-shine/akila bata.