Maisha yanabadilishwa na kile unachorudia kila siku.
1. Angalia unachofanya kila.
2. Angalia unachofatilia kila siku.
3. Angalia kinachomaliza muda wako.
Hivyo ndivyo vinajenga uhalisia wako.
KAMA UNATAKA KUFIKA MBALI MAISHANI, SOMA HAYA MARA MBILI.
1. Usisubiri maisha yabadilike ndipo uchukue hatua. Chukua hatua ndipo maisha yabadilike.
2. Kila siku unayoamka ni nafasi mpya ya kujenga maisha ambayo ulitamani jana.
3. Nidhamu itakupeleka mbali zaidi kuliko vipaji, bahati au motisha.
4. Mtu anayeshinda si yule asiyeanguka, bali ni yule anayekataa kubaki chini.
5. Muda ndio mtaji wa thamani kuliko pesa. Pesa ikipotea unaweza kuirudisha, muda ukipotea umeondoka milele.
6. Afya bora, akili tulivu na tabia njema ni utajiri ambao hauporomoki kwenye soko lolote.
7. Watu wengi wanapenda matokeo, wachache wanapenda mchakato. Jifunze kuupenda mchakato.
8. Ukitaka maisha makubwa, kubali kufanya mambo ambayo wengi wanaogopa kufanya.
9. Usijilinganishe na wengine. Linganisha wewe wa leo na wewe wa jana.
10. Siri ya mafanikio makubwa ni kufanya mambo madogo kwa ubora mkubwa kila siku.
11. Acha kutafuta njia fupi. Mara nyingi njia fupi ndiyo inayozunguka zaidi.
12. Watu watakuamini baada ya kuona matokeo, si baada ya kusikia mipango yako.
13. Jifunze kusimama peke yako. Wengi huondoka pale unapowahitaji zaidi.
14. Ukishindwa kudhibiti hisia zako, hisia zako zitadhibiti maisha yako.
15. Maumivu ya kujituma ni madogo kuliko maumivu ya majuto.
16. Kila ujuzi unaojifunza leo unaweza kuwa chanzo cha kipato kesho.
17. Usiogope kuanza ukiwa hujakamilika. Hakuna anayekuwa mtaalamu siku ya kwanza.
18. Mazingira yako yana nguvu kuliko malengo yako. Chagua watu, marafiki na mazoea kwa umakini.
19. Mafanikio si kufika juu pekee, bali ni kubaki juu bila kupoteza maadili yako.
20. Mwisho wa yote, maisha hayatakukumbuka kwa maneno uliyosema, bali kwa thamani uliyoiacha duniani.
MWANAUME, KAMA UNATAKA KUFIKA MBALI MAISHANI, SOMA HAYA MARA MBILI.

Nilikua naumia sana pindi ninapokataliwa mpaka siku nilipolielewa hili...
Kila Hapana niliyokuwa napewa kwenye michongo, biashara au mahusiano ilinifanya nijione sifai. Lakini mchezo ulibadilika kabisa nilipogundua siri moja kubwa sana kuhusu rejection.
Kuna kanuni moja ya kisaikolojia ambayo ukianza kuitumia leo, hofu ya kukataliwa itapotea kabisa na utaanza kuona fursa kwenye kila kikwazo.
Shuka nayo tujifunze🧵👇🏾
1. Unachokifikiria, unakuwa.
2. Unachohisi, unavuta.
3. Unachokiwaza kwa picha akilini,
unakiumba.
Mawazo yako hugeuka kuwa vitu halisi.
Take care na vitu unavyoweka AKILINI mwako.
Law of attraction.
Ideas hazitengenezi pesa.
Execution ndiyo inaleta pesa.
Idea rahisi iliyofanyiwa kazi vizuri
itashinda idea nzuri ambayo haijaanzishwa.
Anza hata ikiwa haijakamilika.
Boresha kadri unavyo endelea.
Kuna tofauti kati ya kuwa busy na kuwa focused.
Kuwa Focused ni kufanya vitu vichache kwa clarity na mwelekeo.
Kuwa busy nikufanya mambo mengi bila direction, Unafanya vitu vingi, Unachoka sana, Lakini hakuna progress ya maana.
Sio kila kitu kinahitaji attention yako.
Kuwa mwanume wa THAMANI.
Sio kuhusu pesa pekee.
Ni mchanganyiko wa mindset, skills, discipline, na presence.
MAMBO 6 YANAYOKUTHIBITSHA WEWE NI MWANAUME WA THAMANI.
Thread 🧵
Asubuhi Huwa Hakuna Makofi Kuna Majukumu.
Asubuhi haikuulizi ulilala saa ngapi, haijali jana ulikosa au ulilia.
Asubuhi inakuamsha na kukukabidhi mzigo wa maisha.
Watu wengi huamka na ndoto, lakini wachache huamka na nidhamu.
Ndiyo maana wengi hupenda usiku ndani yake kuna faraja,
lakini asubuhi kuna ukweli.
Asubuhi ndiyo kioo cha maisha yako:
kama jana hukupambana, leo inakurudisha kwenye mstari.
Hakuna mtu atakayekushangilia unapoamka kupambana na umasikini,
lakini kila mtu ataona matokeo ukikata tamaa.
Ukweli mchungu ni huu chief
maisha hayabadiliki kwa maombi peke yake,
yanabadilika kwa maamuzi unayochukua kila asubuhi.
Asubuhi njema kwa anayechagua kupigana badala ya kulalamika.
HAKUNA ALIYEKULOGA – HIVI NI VITU 10 VINAVYUKUZUIA KUSONGA MBELE.
Watu wengi wanapokutana na changamoto katika maisha yao huanza kuamini kwamba kuna mtu amewaloga au kuna nguvu fulani ya nje inayowazuia kufanikiwa.
A LONG THREAD.
Kila mwanaume anatakiwa ajue kitu kimoja cha muhimu
Kuwekeza kwako ndio uwekezaji wenye faida kubwa zaidi maishani.
MAMBO 6 YA KUWEKEZA KWAKO KAMA MWANAUME.
Thread 🧵..