Hii picha ni ya mwaka 1970 mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles ambae kwa sasa ndio Mfalme wa Uingereza aliposhuka uwanja wa ndege wa Njombe kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako kwenda Songea uliokuwa ukijengwa kipindi hicho kwa msaada wa Serikali ya Uingereza
Kutoka kushoto kwa Price Charles alievaa kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa wa wakati huo Dr. Wilbert Kleruu. Kulia kwake mwenye kombati ya kaki ni Mbunge wa NJOMBE wa miaka hiyo Ndugu Jackson Makweta. Miaka mingi imepita sasa tangu kumbukumbu hizi zichukuliwe.
Emotional 😭 Moment Interviewer asks Joe Jackson where Michael Jackson body is after his death… and Joe looks completely CLUELESS 😳 Sounded like he lost a cash cow, not his own son. No wonder Michael sang ‘Heal the World his dad broke him first. The man who beat his kids to fame couldn’t even fake grief. This is why the King was never healed 💔 Who else sees the abuse behind the icon?
What’s your thought about this?
You want to know how corrupt Europe is? Well After Algeria beat west Germany in 1982, Germany and Austria conspired to fix the score so that Algeria wouldn’t make it to the knockout stage.