Huu ni ushahidi mwingine,
Internet huwa haisahau, kuna watu wana magenge ya kiharifu ndani ya Nchi na wanalindwa na vyombo vya dola.
Bahati nzuri wanajitangaza is wenyewe hadharani.
Nami naendelea kuhimiza mikataba ya rasilimali iwekwe wazi kwa mujibu wa sheria. Si ajabu ni mizuri lakini sasa asemavyo Mhe Mpina kwanini kificho? Unaliletaje taifa pamoja bila kujenga TRUST? KUAMINIANA?
Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
-Waebrania 11:6
YOUNG LISSU.
Dogo kaamua kuja Front kupambania haki za babaake aliepo gerezani zaidi ya siku 400.
Wakoloni weusi Hizi mbegu mbaya mnazopanda vifuani mwetu lazima mzivune.
Stay strong BRO-TUTAVUKA NA TUTASHINDA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
MUSTACHI amebandikwa jina la YUDA baada ya kusaliti ajenda ya ‘kama tunakufa, tufe pamoja’. Meseneri wengi wametumwa wamshambulie. Ukweli ni kwamba mzee amekataa kubeba laana ya mauaji ya raia ya Oktoba 29, 2025. Baada ya unyama ule, aligoma kutoka nje kushambulia wafiwa. Amewaambia kavukavu: Yeye si mwizi na si muuaji. Mustachi amekataa kuwa mshirika wa MUMIANI (wanyonya damu). Kuni zimeshakolea, acheni moto uwake sasa. 🔥
This video ia trending in #Tanzania
It is a painful recount of a motber whose son was abducted by @tanpol on April 21 and taken away in a white Land Cruiser hardtop! He has not been seen to date!
She told the illegitimate Prime Minister Mwigulu who is accused of being one of the masterminds of #EnforcedDisappearances about the incident!
Look at his heartless reaction closely to understand what violence we suffer EVERYDAY under this regime
@WGEID@StateDept@SenateForeign@SFRCdems@UN_HRC@WorldBankAfrica@IMFAfrica
Angalieni kwa karibu Mwigulu anavyoongea hana utu kabisa 🙄 na huyu Mwigulu waathrika wengj wanamnyooshea kidole kuhusika na utekaji na mauji! Hatuna serikali wala viongozi tuna watu makatili wamejiweka kwa kutumia silaha madarakani na wanaendelea kutuua na kututeka
Huyu mama ni mmoja ya maelfu wanaoteswa na hii serikali kwa kupotelewa na wanao! Hawa watu ni mashetani na si wa kucheka nao - na hakuna kuwasamehe! Wawajibishwe to the fullest! Kuanzia hawa maaskari hadi huko top!
#SamiaMustGo
BEIA YA MAFUTA IMESHUKA katika soko la Dunia sasa wakati wa Kupanda inapanda ghaflayaani ikipanda asubuhi mchana lazima huku tupewe kipenyo lakini cha ajabu sasa Imeshuka wameanza longo longo eti wanaangalizia kushuka zaidi yaani imeshuka kwa Asilimia 20?! halafu bei zisibadilike? Hii ni maajabu
Ni kweli wengine hatukusoma hesabu na ukokotoaji wa hesabu nisuala la kitaaluma tulikimbilia somo la Siasa but the number is not adding hapa tunapigwa.
Hivi hata hili Wabunge pale Dodoma nalo mnashindwa kuwalinda wananchi?
BAK MWABUKUSI.
Just found out a reseller here in the US sold me a fake Chanel bag. Didn’t know till I walked into the Chanel store this morning and the assistant was kind enough to inform me the bag was fake. I want to out them publicly but I need some legal advice 1st to make sure I don’t open myself up to a lawsuit.
I wore the bag 2 days ago for the 1st time at my niece’s graduation celebration, so only used twice. I need to know what legal options I have here.
Upare umeni cost leo…. Nikadhani nimepata dili kumbe nimepatikana ila siwaachi.
The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people.
Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!!
@potus@realDonaldTrump@SenTedCruz@SenatorShaheen
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
‼️🚨ALIYEONGOZA JOPO LA UTEKAJI WA DJUMBE NI SUMAI🚨‼️
Huyu anaitwa Sumai Ramadhani Mrwiru! Huyu ndo aliongoza kikosi kilichoenda kumteka Djumbe. Na alikuwa amevalia tshirt nyeupe!
Sumai amekuwa akitajwa sana na Rachel Dangwa ila nilikuwa nakusanya ushahidi kwanza na kufanya verification
Huyu ni msaidizi mwaminifu wa Abdul Ameir mtoto wa @SuluhuSamia na mwanachama mtiifu wa CCM! Pia anadai ni TISS na mshirika wa Mafwele na Makonda na magenge yao! Huyu lazima amulikwe na wenye taarifa zake karibuni DM mwageni data! Huyu Sumuya alitajiwa kuwa amehusika sana kwenye mauaji mbalimbali ikiwemo za Oktoba 2025 - ni mtu hatari!
This is Sumai Ramadhani Mrwiru - the associate and henchman of Abdul Ameir - son of Samia Suluhu! It is now confirmed he was the leader of the abduction gang that attempted to abduct and kill David Djumbe few days ago! I have been trying to confirm his identity and his role and now it is 💯
When I say #Tanzania is run by criminals this is what I mean! Sumai works with Mafwele’s gang and is known for his ruthless violent actions - reportedly killing with his own hands
#SamiaMustGo
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Nduli Idd Amin Mama kayatimba, sasa hivi anakula za uso kila kona.
Ifike mahali Nduli Idd Amin Mama awe anaona aibu kuonyesha ukilaza wake hadharan maana anajidhalilisha sana.🚮
Dear @didierdrogba
Are you aware that the illegitimate government that has invited you to Parliament seized power on October 29, 2025, after killing more than ten thousand Tanzanians?
They have offered you money that is tainted with the blood of our brothers and sisters who were murdered. They believe that your presence in Tanzania would lend legitimacy to the atrocities they have committed against us.
If those who were killed were your own relatives and their blood had been shed, would you still accept this invitation from these killers?
#TanzaniaMassacre #TanzaniaIsBleeding #Mo29