Unajua ukiwa Daktari unahudumia wagonjwa. Wengine ni wamiliki wa hardware, maduka, mashamba, mifugo etc.
Wewe unahisi wale watu wanahitaji sana msaada wako. Kumbe ni wewe ndio unayehitaji msaada wa kiuchumi.😀
Wale watu wanajua huna hela ndio maana Ukienda bar, wanakuongeza bia tu.
"Sheria ya kwanza ya uwekezaji sio kupata faida ni kulinda mtaji, watu wengi wamekuwa wakipoteza kwenye uwekezaji mbalimbali kwa sababu kabla hajajiuliza nitalindaje mtaji wangu ,anawaza kwenye faida"
- Ammi Julian Mwamunyi Manager Corporate finance and Advisory - CRDB Bank.
Your course mates are hiding past questions from you and you think it's links and opportunities they'll share with you.
Life after school is going to be crazy😂
#TajiriLaKihaya
Mtu akikuambia umtafutie kazi hajamaanisha umFORWADIE LINKS na Adverts…
Anahitaji kitu kama;
“Hello,Report on Monday you have been referred by so and so…”
Or
“Nenda kwenye ile Ofisi waambie nmekuagiza”
Hizo links na Advets is not it💯
Mimi ni mwanademokrasia na mpenda mabadiliko lakini kuna muda Nikiangalia post za wanaharakati, unaona kabisa hawana uelewa na siasa za Dunia au hawajajifunza kutokana na historia. Ni hivi, Kama watanzania tunataka mabadiliko au katiba mpya basi tuendelee kushikana mashati mpka ipatikane Kama kenya na nchi zingine.
Haya mawazo ya kuomba eti kiranja wa Dunia aje kufanya mapinduzi, hayana tija. Jumuia ya kimataifa wala haijali kuhusu maisha yetu as long as wao wanapata maslahi yao. Angalia kilichotokea Venezuela. Walidai lengo ni kuleta demokrasia lakini baada ya kumkamata Maduro na kuhaikishiwa Mafuta na Raisi mpya wakaondoka.
Wale wote waliongia mtaani kushangilia, wakawekwa ndani na serikali ile ile. Imagine Kiranja wa Dunia aje amkamate Samia afu amuache Nchimbi huku akila dili nono za madini. Sisi tumefaidika nini hapo? Si CCM ile ile?
Wakija watu kufanya mapinduzi chini kwako it means wanatumia resources kufanya hiyo kazi. Hizo resources lazima mzitapike na rasilimali zenu. Tena mara nyingi wanaweka kiongozi kimeo kabisa ambaye watamtumia vizuri.
Hata Iran, kuna kauli zinatolewa unaona kabisa lengo sio kuleta demokrasia. Demokrasia ikija Iran, wao watafaidika nini?
Look around africa. Viongozi wanafikisha miaka 40 madarakani. Hizo jumuiya zinawapongeza kila uchaguzi na balozi zao bado zipo kwenye nchi husika. Angalia demokrasia ilivyolazimishwa nchi za kiarabu kwa miaka mingi, leo Marekani wameondoka nchi husika, Wamerudi kulekule or even worse.
Mabadiliko ya kweli lazima yatokee ndani sio nje.
Ule utaratibu wa kutowaachia wazee Siti kwenye Dalaldala tunaendelea Tulipoishia wakuu,Itoshe kuseme hili Taifa Wazee hawastaili heshima kutoka kwetu ..🤝
@bajabiri kuishi hizi wilaya ngumu sana ukiangalia mbeya vijijini hospital ya wilaya inajengwa inyala huduma zingine zipo mbalizi mtu anatoka milimani huko irungu🙌
Wataalam wanashauri;
• Tumia angalau dakika 30 au lisaa kila wiki Kujielimisha kuhusu "Personal finance".
• Kwa sababu usipolichukulia personal ni ngumu kutoboa.