@castrofy26 somebody Didn't tell you its a final boss
anyway Tuundie ya mwisho ya laliga na usiunde ukifavour Hellabet jamani nmeloose ya kutoshaa chombaa
🚨 Arsenal won the Premier League & are getting £177.4M
🔴Bayern Munich won the Bundesliga & are pocketing €83.4M
🛑Inter Milan won Serie A & are pocketing €70M
🛑Paris Saint-Germain won Ligue 1 & are pocketing just €30M
🛑Barcelona won La Liga &…….see below
1-10
1. Fifty Shades of Grey (2015)
2. Love & Other Drugs (2010)
3. Fifty Shades Freed (2018)
4. 365 Days (2020)
5. 365 Days: This Day (2022)
6. 365 Days: The Next 365 Days (2022)
7. Blue Is the Warmest Color (2013)
8. Malcolm & Marie (2021)
9. Unfaithful (2002)
10. Secretary (2002)
Nikiwa first year huko MKU nishaipatana na dem fulani tukavibe and after afew days nikaamua kumpima akam kejani fortunately akakubali mimi juu ya kutu nilikuwa nayo hata time ya kuenda kubuy cd sikupata ,
Niko na rafiki babake ni mlevi ajab, alikuwa Anachapa mama Yao sana, their mom alivumilia hadi wote wakamaliza shule, got their jobs & now she left the marriage, they bought her a house in Nakuru wakaacha mzae na huko village. Watoto ndo huwa wameshikilia most women Kwa ndoa.
Vijana ata mkinitusi ati nakuanga handsam sana ndio warembo wananiogopa,mimi bado nawaombea mpate hii pesa. Tupate ata hii pesa tukiwa wote yani. There are alot of things we are missing out on simply because we are limited by poverty. Pesa inaleta exposure nakwambia. Kuna mahali nilikua nikaskia jamaa zilikua nyuma yangu zinaongea zinataka kufungua petrol station bwana,the other mjamaa then mentioned they needed about 180 million. Chai yangu hapo ndio ilianza kuonja dufia
Because I realized how far behind I was. Yani imagination ya mlalahoi iko tethered around his environment.Mimi unajua ukinipatia 100Mirrions sahii siwezi firikia petrol station,ningeanza na kuwekea bibi boutique na cosmetics,nifungue wines and spirits,alafu sacco nikulange dividents. Hapo ndio ushamba yangu imenifikisha.
Alafu hao jamaa vile walimaliza,nikaskia wanaArgue nani atalipa bill. Mmoja akasema “You paid the other day i’ll take this one,its on me” Waiter ako hapo anangoja wamalizane. Woi! Woi! Nikikumbuka mimi ni mara ngapi beste yangu stano amejifanya amelemewa na pombe akazima ndio asilipe bill ya 950 naishiwa na nguvu. Mungu tuskilie huruma sisi vijana wako,na ukumbuke shetani hayuko mbali pia my dear father. Khabusie!
Shida ya hawa vijana wetu wanaenda kule Gulf kufanya mjengo alafu wanatumia pesa yote kufanya umalaya with philipino concubines. Na unajua naye hakuna watu wanajituma huko nje kama wahindi na wafilipino. These guys come from extreme poverty. Wachana na hii ya kibera,in philipines theres a kibera of kibera. Umaskini tupu
So mflipino akikamata Omsigidi ya Ndirang’u namna hii anatumia kama mswaki nakwambia,vijana wetu hawaponei. Very few have actually managed to create something sustainable from the money they made. Wafilipino wameswaga yote. Na hakuna kitu inafurahisha waafrika kama kama kufunua wazungu. By the time they return to kenya after 4 years,They only have 400 sausand in savings,wanaswaga na miezi tatu wakisema vile pesa ya Mwarabu imerogwa,tena wanaona kenya mambo ni ngumu,wanalipa deposit kwa agent wanarudi gulf. Mungu baba hawa vijana nawaleta kwa mikono yako,juu nikiwapeleka kwa Ruto atawamalisa.
Na vijana sasa mjue katiba ilibadilika nyinyi mkiwa shule. Siku hizi ukipea msichana wa rich families mimba huwa hawakuulizi how much money do you want to leave my daughter alone,apana. Siku hizi huwa unarukwa mimba yako buana. Kwanza wazazi wakiskia mimba niya upcoming artist msichana huwa ananyaganywo simu na anapandishwa ndege Kwenda university kule Ontario canada.
Some of these families are very specific on the direction they want their bloodline to flow. Huwa unanyaganywo mtoto yako kama mutina nakwambia. And you cannot take them to court,thats their playground,they buy all your cheap lawyers like Kangumuu. Alafu ujue Hakuna watu kigeugeu kama loya,Loya ni mtu anakuangalia kwa macho namna hii anakwambia hii kesi ni mboga,akijua vizuri ashaakula deposit from opposition.
Na hivo ndio unanyaganyo mtoto. Hawataki damu ya kawangware. Na jina yako hawaekangi ata kwa birth certificate. Wanaekanga ya babu yao,Kanyori wa Mbùkù. Earth is hard aisee