Baadhi ya barabara kuu zinazoingia jijini Nairobi, Kenya zimefungwa kufuatia maandamano yaliyopangwa kufanyika leo ikiwa ni kumbukizi ya miaka miwili ya maandamano ya Juni 25, 2024.
Katika maandamano hayo ya kupinga muswada wa sheria ya fedha, rushwa, ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira zaidi ya watu 60 waliuawa.