Nduli Idd Amin Mama alidhan anaweza kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi kwa risasi halafu mambo yakaisha tu hivi hivi kama hakuna kilichotokea.
Si alijifanya yeye ni jeuri, ameuwa ndugu zetu halafu akaanza kukejeli eti oooh mnalaumu na kulalamika kwamba watu wamepigwa risasi na kuuwawa eti kwanini msilaumu Wazazi ambao walishindwa kuwazuia Watoto wao wasiandamane, mara aseme nguvu iliyotumika kuuwa ndugu iliendana na tukio.
Mataifa ya njee yalipoanza kumuuliza kwanini ameuwa wananchi wasio kuwa na hatia akawambia “Who are you” mara sijui Tanzania ni nchi huru, wasituingilie, hatujakaa sawa akawatuma akina Kombo kwenda kwa “Who are you?” kutubu, wamehangaika kujikosha weee imeshindikana, “Who are you” hawakati hata kumskia.
Sasa kimemramba kakimbilia kwa Putin na alivo kilaza anadhan Putin atamsaidia, wakati Putin mwenyewe ni mtu ambae hawezi kumsaidia chochote yani Putin ni kama zile familia ambazo huwa zinasema “Mgeni njoo, hapa kwetu ni stori tu, kula kwenu…” mfano mdogo ni issue ya Moduro wa Venezuela ambae alikuwa mshirika wake haswaaa lakin Marekani walivoanza kunyonyoa Moduro, Putin alijikausha kimya kama hayupo, Moduro katolewa madarakani na Putin akashindwa hata kumsaidia.
Damu za Watanganyika wenzetu zitaendelea kumuandamana Nduli Idd Amin Mama mpaka siku anaingia kaburini.
Mungu! Usitunyamazie 😭🙏🏽
Mungu wetu ni mwaminifu na atajibu muda si mrefu!
There is a deep seated TRAUMA and collective grief in #Tanzania following the atrocities of #TanzaniaMassacre
Mwalimu Christopher Mwakasege leads prayers to God asking the Lord “where are you?” Why do You let the Wicked devor the Just?
We pray he is not harmed like other Christian leaders who have spoken up about the injustices and atrocities! Nobody is spared by these EVIL regime!
Dark times we are living!
#SamiaMustGo
Linapokuja swala la kushika dola, ccm haijawahi kugawanyika. Tusikubali kupangwa sasa eti Nchimbi anaonewa. Ni wamoja hao, wanatupanga ili Nchimbi apewe nchi ccm ibaki madarakani. Kataa wahuni.
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.
Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..
Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..
Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.
Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..
Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Hakuna kosa Kubwa alifanya Polepole Kama kutoa siri akiwa nchini alafu alikuwa kagusia kurasa 5 tu kati ya 38 alizokuwa anatakiwa kuweka wazi! Alitakiwa awe nje ya Tanzania,
Kuna mengi sana
Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔
Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa?
Influence? au Numbers (Followers)
au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini?
Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young!
Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026!
Miaka 19 kwenye hizi harakati
NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!!
WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!!
Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!!
Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!!
Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!!
Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!!
Tunafanya haya kwa passion,
kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc.
Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!!
Wanatumia vigezo gani kukulipa?
Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!!
Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI?
Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!!
Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
Wapendwa mmeona kuwa vikwazo Marekani vinanukia
Sasa kimyakimya nitumieni DM data za hawa wauaji kama wana nyumba, akaunti au mali yoyote Marekani tuwasaidie maseneta kazi!
Shughuli imempata mwenyewe 😁👊🏽
Kadri mnavyotushambulia na sisi tunapambana na tuko imara kuliko jana!
Nasema #TutaelewanaTu
@Royal_Tv_Tz@TonnyAdamms Kwanini asipewe adhabu aliyetukana kwanini chama kifungiwe kwaajili ya Kiongozi kutukana adhabu kwa wanachama wote wa chadema nchi nzima sheria kandamizi
#Tanzania
Arusha streets filled with stranded commuters! “Daladala” (known as matatus) commuter buses are striking tiday!
Leo hakuna Daladala mtaani Arusha - wananchi wamekwama!
Ila serikali haramu inafuja pesa kuleta akina Drogba na Rio na mabilioni kulipa lobbyists waisafishe!
Tusipoamka tumekwisha!
#TutaelewanaTu