@mwigulunchemba1 ๐ด 2. Risk ya cash flow (Mtiririko wa fedha)
Hapa tunaangalia:
Anaingiza pesa ngapi?
Anatumia pesa ngapi?
Kwa graduate:
Income = 0 au ndogo sana
Expenses = zinaendelea kila siku
๐ Hii huleta negative cash flow
Mfano rahisi:
Ana mkopo: 1,000,000
โ Hitimisho la Kiuchumi
Kumkopesha graduate anayehitaji pesa za:
matumizi ya kila siku +
bado hana kipato
๐ ni HIGH RISK sana
Kwa sababu:
Hakuna income ya kulipa
Pesa haitazalisha pesa
Lifikilieni sana hili graduates ni wengi sana
Wako katika taifa kijana mwenzao
@mwigulunchemba1 ๐ด 3. Risk ya โgrace period dependencyโ
Watu wengi wanategemea:
โNitapata kazi baadaye nitalipaโ
Lakini:
Ajira inaweza kuchelewa
Kipato kinaweza kuwa kidogo kuliko matarajio
๐ Hii inaongeza uncertainty
๐ด 4. Risk ya moral hazard
Mkopaji akijua:
Hana dhamana ya kuguswa (vyeti si rahisi kuuzwa)
Hakuna shinikizo kubwa
Anaweza:
Kutotumia pesa kwa nidhamu
Kutochelewa kulipa
๐ Hii huitwa moral hazarf
haitakwenda kwenye uwekezaji
Itaenda kwenye matumizi kama:
Kodi ya nyumba
Chakula
Usafiri
Mawasiliano
๐ Hii inaitwa consumption vs investment
Tatizo:
Matumizi haya hayazalishi kipato, hivyo uwezo wa kulipa unapungua.
@mwigulunchemba1 mh samahani
Lakini naona Kuna jambo taifa litaelekea kubaya hasa la mkopo kwa wahitimu kutumia vyeti vyao kupata mkopo naomba niwe against na wewe little bit;
๐ด 1. Risk ya matumizi (Consumption Risk)
Hii ndiyo kubwa zaidi.
Mkopo ukitolewa:
Sehemu ya pesa
@maxannania Protectionist policy โ kuhamasisha assembly ndani ya nchi ila hii kwa taifa letu ni upiuzi,
Revenue generation โ hii ni ya mhimu maana inakuza kipato Cha taifa
Externality correction โ hii ni kwenye mazingira hasa second hand moto vehicle
Demand management โ
@BiggieGJK@angelish17 Ni kweli micro economy kwa Dodoma ni poor kuanzia demand, supply pamoja , consumer behavior pamoja na market structure yake kiufupi management ya Hilo soko ni poor
Kwa lugha nyingine gari zima dreva mbovu,๐
@angelish17 https://t.co/AgnkqH2baa typology ilitakiwa iweke bayana. Hili soko litakua ni whole sale hub, mixed hub au ni logistics market
2.economic ecosystem may be haipo thus why soko limefeli lakini na uhakika mpango ulikua sawa
@angelish17 Jamani,kiuchumi walikua sahihi but hatua za kulifanya soko liendelee ndiyo zili feli Nazi sababu kazaa
1.hii ilikua ni future city expansion /kidhibiti urban sprawl
https://t.co/AuTjLXf2J2 urban development
Economic corridor
3.logistic hub ya mji
Lakini serikali imefeli wapi
@JMakamba
Happy Birthday,brother.
As you celebrate being born on the 28th, I pray you continue pursuing your vision and walking in a way that pleases God. May this new year bring you wisdom, strength, and abundant blessings as you move forward