@Alex_mbwaga77@vistovic17 Hapana sio kweli, ramani inakuwa na vipimo vyake, kutegemea na Karatasi waliyotumia nk. Ukubwa wa Mchoro upo kwenye Vipimo na sio kwenye picha. RAMANI za nyumba always tunatumia mm kuwakilisha vipimo vya Mita 1 kwenye Ardhi.
@shaks_prince@Prince_Urio@TitoMagoti 😆😆😆😆 Wanaharakati hawati uwaout smart kwa kitu chochote, kumzidi likes kwake ni tatizo na lazime akupige kipande cha Tofali tu.
@Makaveli_255 Hapo unazungumzia mtandoa wa Road hizo kaka, unahitaji tech ya kibabe sana hata US hawaifikii JAPAN kwa Miundombinu bora sidhani kama unalijua hilo Boss