Israel ipo kwenye hatari mbaya ya kuanguka na kutoweka kulingana na Hali inayo endelea sasa.
Ndege aina ya kunguru au wadudu kama nzinge wanapo tanda katika taifa lolote hua ni ishara mbaya sana.
Tunapata kuona Ndege aina ya kunguru wakitanda kila eneo bila kuogopa milipuko huko Israel ikizingatiwa ndege aina ya kunguru ndio ndege waoga kuliko wote duniani ila ajabu wanazidi kuongezeka bila kuhofia Kitu chochote hii ni ishara ya anguko la Israel.
Ngoja tutazame Jamii zingine zinasemaje kuhusu ndege wa aina Hiyo wanapo Tanda katika taifa lolote nini kinatokea.
Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam.
Katika historia ya kale ya #Uchina, #Mesopotamia na #Misri, Kunguru na tai mara nyingi waliangaliwa kama Ujumbe wa mitume, miungu au pepo.
#Misri ya kale 👉 Ilichukulia Ndege wakiwemo kunguru walihusishwa na uhasama na ulinzi wa roho.
Kuhusu vita👉 kuonekana kwa ndege wengi au kunguru kuliachwa kama ishara ya mabadiliko ya nguvu au hatari inayokuja.
Jamii ya #Mesopotamia pia Ilichukulia 👉 Ndege waliotembea katika anga au kuonekana kwa makundi makubwa walihusishwa kitaalamu cha maamuzi ya malkia au mfalme kuanguka.
Katika tamaduni za Ulaya za Kale, Jamii kama #Celtics na #Wagiriki 👉Kunguru walihusiana na ubashiri wa vita na Vikifo vingi katika Jamii yao.
Kuonekana kwa kunguru wakati wa vita kulionekana kama onyo la maangamizi au Kushindwa kwao.
#Roma ya kale Yani 👉#Augury ni mtindo wa kubashiri matukio ukitumia ndege.
Kunguru waliokuwa wakiishi karibu na mapigano walionekana kama ishara ya bahati mbaya au kuingilia kati kwa miungu.
Katika tamaduni za Kiasia na Kiasili, Jamii za #Japan na #China👉 Ndege weusi au kunguru walihusiana na ubashiri wa majanga au vita.
Ndege waliotokea kwa wingi wakati wa migogoro walichukuliwa kama alama kwamba vita vitazidi na watashindwa katika mapambano.
Jamii zetu za #Afrika ya Kale zilichukulia Ndege waliokuwa wakuu wa jangwani kama kunguru walihusishwa na roho za mashujaa waliopotea au ishara ya hatari na kupoteza #mamlaka za #Kimila.
Watu walitumia kuangalia tabia ya kunguru kabla ya kuingia kwenye vita kama sehemu ya ujasusi wa kiasili.
Tukija katika Mtazamo wa kawaida, Kuonekana kwa kunguru au ndege wengi wakati wa vita.
👉Mara nyingi ni ishara ya hatari, Vifo, au mabadiliko ya nguvu
👉 Mara nyingine ni ubashiri wa miungu Kukasirika na Utawala wa jamii fulani
👉Hakuna mtu aliyeona kama ni alama ya kawaida tu bila uhusiano na vita au nguvu za juu
👉 Kwa maneno mengine, historia na tamaduni nyingi ziliona kunguru kama kielelezo cha nguvu ya Jamii ilio anguka, haswa katika muktadha wa migongano au vita.
Hii ni karma, Karma hutafuna, Israel itaanguka, Israel haitasimama tena, Israel inapokea Isha mbaya kila siku.
Cc Chotara Mweusi