Uoga ni kikomo cha uwezo wako. Jitume kufanya zaidi ya unavyofanya ushuhudie maajabu ya uwezo ulio nao.
//
Your fear limits your knowledge and skills. Go above and beyond what you already do to witness the wonders of your ability.
#FatemaSpeaks
Leo Mh Raisi Ametangaza Kuwa Tanzania Tuna Jumla ya Majengo 14,348,372.
Sasa swali la Kujiuliza, Wewe unamiliki Majengo Mangapi kati ya Idadi hiyo?
Na kama Huna Hata Moja Humu Twitter unatafuta nini?
Leo Mh Raisi Ametangaza Kuwa Tanzania Tuna Jumla ya Majengo 14,348,372.
Sasa swali la Kujiuliza, Wewe unamiliki Majengo Mangapi kati ya Idadi hiyo?
Na kama Huna Hata Moja Humu FB unatafuta nini?
Kunanyakati Unaweza Hisi Dunia Inakutenga.
Ikiwa Mungu Bado Yupo na Anatenda...
Jaribu kuRuhusu Muda uendeshe Maisha yako, hakika Majibu utapata.... https://t.co/yWX74MFNgu
Na HomBoy, miaka yote Mwanahabari Ombeni Mgongolwa @ombeni_mg Kitambo saana, Hatimae tumekutana. Keep Doing Good Bro.... @ Mafinga, Iringa, Tanzania https://t.co/0aXBmjQwmG
Siku Namaliza Kidato Cha 6, Mtwango Sec, Nilipiga hii picha Na Mkuu wangu wa Shule Bora Kuwahi Tokea.
Alikuwa Rafiki kwangu Mpaka Hivi sasa.
R.I.P MWL EDWARD MBUNDA
Sitokusahau kwa Yote. https://t.co/Vs2zG8l1MO