@jojobaoilhoney Old dude tip, keep life simple, save for what makes you happy, borrow as little as possible & pay off as fast. Live w/in 90% of income at most, learn to respect that hard earned 10% left over, if it is possible. Small is better as is used. Life can b short, time is what we have.
Kama unataka ushauri kuhusu idea yako ya tangazo ili liwe kali in other way kufanyiwa maboresho ya idea ya tangazo au kutengenezewa idea ya tangazo kaliiiiii nipo apa use me. #NipeDili
Kwa wale watu wa Accounting/Finance kuna kazi moja hapa
Kama pia ni dereva mwenye leseni Class C kuna kazi pia
Na Mwisho kwa wale wanaohitaji nafasi ya Internship kuna nafasi hapa.
Organization ni ya kimataifa yenye program karibu mabara yote.
#NipeDili#TOTBonanza
Kindly RT
Jina: Santino Gabriel Ngede
Ninapoishi: Mbeya mjini
Ujuzi: Degree ya ualimu
Masomo: Jiografia na Kingereza
Chuo: TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA
Natafuta kazi kwenye shule yoyote kama una connection inahitaji huduma yangu ncheki kwenye namba yangu 0766163041
#NipeDili
#NipeDili#ChkuaDili
Keland School, inatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa masomo ya Kiswahili Hisabati na Sayansi, kwa darasa la 7.
Usaili, Kiswahili ni kesho Jumanne, Hisabati ni Jumatano na Sayansi ni Alhamisi.
Shule ipo salasala Dsm.
Kwa mawasilino zaidi 0715/0755646067