‼️LEO LISSU KAONGEA JAMBO MUHIMU‼️
Kuna hadi baadhi ya wanachadema walianza hii kampeni ya eti “Heche anazuia Lissu asitolewe”
Sasa mmejibiwa na Lissu - hamuoni aibu? Mi hata kama tuliwahi kuwa marafiki ila ukishaongea huu upuuzi wa Lumumba eti Heche ndo anachelewesha Lissu kuachiwa - nakuwekea mashaka! Sorry!
Leo Lissu kasema mnaosema hivi mmepokea pesa za Lumumba! Haya!
Eniwei #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow
Mtu huyu (Tundu Lissu) hajawahi kujenga reli wala daraja la juu (fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi.
Unapoishi na hiyo roho ya ushindi ndani yako, kama mtu anataka kukuua huwezi kufa, Kwa sababu wewe ni mshindi.
Mshindi Huwezi Kumshusha.
Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
Mshindi Huwezi Kumtishia.
Mshindi Huwezi Kumshinda.
"How are you going to conquer the man with the spirit of victory"?
Kwa tafsiri ya kiswahili
"Unawezaje kumshinda mtu mwenye roho ya ushindi"?
Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
Endelea kumsikiliza....
Huyu mzee amenifanya nimetokwa na machozi!
Sometimes the voice of courage comes from a frail old man who has the heart of a lion!
Huyu mzee anatuhimiza SOTE si @HecheJohn - tupiganie nchi!
Alafu kuna midume yenye vitambi na matako makubwa kuliko sisi wanawake wanawaza kuua na kuteka ndo wanaona ushujaa! Tukishajikomboa hii mianaume tutashughulika nao na watawajibika! Na huyo kijana anayebwia unga na kutoa amri kama vile nchi ya mamaake ndo kabisaaa!
Mzee huyu Mungu amtunze aje kuona Ukombozi wa Pili wa Taifa 🙏🏽
Sisi tupambane jamani hakuna kurudi nyuma - tumeshashinda sema mafedhuli wamekaza fuvu
#TutaelewanaTu
Pesa binafsi ambazo mtu amezipata kwa njia halali ni mali yake. Unawezaje kumpangia mtu huyo namna ya matumizi?!
TUENDELEE KUCHANGIA CHADEMA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#TANZANIA: MSIGWA ATINGA MAHAKAMANI KESI YA LISSU KWA MARA YA KWANZA
Peter Msigwa leo Julai 22, 2026 amefika Mahakamani kwa mara ya kwanza kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wake wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam.
Zaidi: https://t.co/JNg8zw3qMq
That is my Boss,
Spirit yake haiwezi kuvunjwa na kuta za gereza.
Watanzania wamekusikia Boss. Kila mtu achangie chama kwa uwezo wake.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Unbelievable ! No one on earth could ever believe that this is possible !
This is pure raw young talent all the way from AFRICA .
I am shocked !!
Let's make her popular
Halafu kuna mjinga fulani anadhani watu watatishwa na kauli za vitisho, magari ya deraya barabarani au kifo.
Ni hivi; vyombo vya dola ndani ya nchi vinapashwa kujua kuna baadhi ya Watanganyika wako hai lakini ni "maiti zinazotembea." Kwa yaliyowapata wapo tayari kwa lolote.
"Nampenda mwanasiasa ambaye anasoma, tatizo wanasiasa wetu wengi sio wasomaji. Niliona jana Clip ya waziri anashindwa kueleza namna ya kuongeza thamani kwenye mazao ya uvuvi, sasa hii value edition ya uvuvi ni so basic! Kwasababu uvuvi unaanzia nchi kavu, watu wana vyombo gani? Ukienda feri pale unakuta watu 30 wanatoka na chombo kimoja wanakwenda baharini watakuja kesho asubuhi wakiwa na jodari watatu, vibua kadhaa na labda watauza laki na ishirini, watu 30 wanagawana shilingi ngapi? Kwahiyo ukitaka kuongeza thamani wawezeshe vifaa wapate boti kubwa nzuri na ziwe na uwezo wa kukaa baharini wiki nzima wawe na chakula, barafu ya kutosha ya kuhifadhi samaki na wakirudi wapate soko."
... Sasa unamuona mtu anapata shida kuzungumza mambo haya wakati mandate yako ni masuala ya uvuvi, inakuaje unashindwa kuzungumza? Kwahiyo unaona kwamba technical alitakiwa aweze kusema lakini unachokiona ni ama alipaniki au hana skills za kulisema jambo hilo, sasa tatizo linakuwa hapo. Mimi sifa yangu kwa mwanasiasa ni uwezo wa kusoma na kuwa mpana katika mtazamo wake." Amesema aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG Prof. Mussa Juma Assad wakati akihojiwa na M/S Podcast kupitia Mtandao wa Youtube leo Jumatano Juni 24, 2026.