@SuluhuSamia Safari za usiku kuna haja ya kuzitizama tena,pia iwekwe sheria kampun ambayo imepata ajali ipigwe fine & kuzuiliwa kusafiri usiku kwa kipindi fulani,hii itasaidia sana.
@Sincerelyrahma7 Eti kuna watu hawaamini km kafa kweli,uyo jamaa alikuwa kwny rada za USA so wataalamu lazma wachukue sampuli wapime yaan hao jamaa ata kucha tu wakipata inatosha hawana haja ya kichwa.
@makumbawaleo_5n Watu wengi wa hivi ni hawaishi/hawakuishi na watoto wao so wanajaribu kutengeneza picha na kuacha kumbukumbu km ni responsible fathers
@MkulimaKante Ivi hii inakuaaje kuna mshkaj mbeya hadi kahama alikuwa na duka kabwe pale anakununulia bia ukikataa anakulazmisha wakupe za take away ila kesho ww km unabiashara hupati mauzo kabisa,watu walipanga kumpga akakimbia.Kwa siku anatumia si chini ya laki 5
@Thommunkondya Ki ukweli bei ya pembe jeo na bei ya mahindi sokoni haiendeni kabisa,ni kweli mahindi sio zao la biashara lakin hizi bei zinaumiza sana wakulima na uyo baba ako akilima mwaka huu kitamramba mara 2 hataamini