🗣️-BARUA YA WAZI KWA REYNA NGOMUO (@itc__reyna )✍🏿.
Habari Kwa majina Naitwa KIBAHA FINEST ni kijana na kiongozi wa viunga vyote vya kibaha na vijiji vyake, nina umri wa miaka 25 na Nina jitafuta kimaisha Kwa sasa ni jobless.
Nakuomba usome andiko hili👇🏿✍🏿.
Shuka na 🧵