Ndoto, Mtaji na Mabadiliko: Jinsi Kilimo Kilivyogeuka Biashara Kubwa Kahama. Kila Punje Ina Hadithi: Jinsi Elizabeth Mzulingi anavyobadilisha Sekta ya Mpunga @MsigwaGerson @Mzulingicompany @ikulumawasliano@SuluhuSamia
🚨 RECORD BROKEN AGAIN! 🚨🇹🇿🇹🇿
Tanzania’s Mining Sector has officially surpassed its FY 2025/2026 revenue collection target, reaching an impressive TZS 1.203 Trillion as of 18 May 2026 equivalent to 100.31% of the annual target. ⛏️📈🇹🇿
This milestone is more than just numbers. It reflects:
✅ Strong sector reforms
✅ Increased investor confidence
✅ Enhanced compliance and transparency
✅ Effective collaboration between Government and mining stakeholders
✅ The growing strategic contribution of mining to Tanzania’s economy
The mining sector continues to prove that it is a key pillar in driving industrialization, employment, foreign exchange earnings, and national development under the vision of building a prosperous Tanzania. ��✨
👏 Congratulations to all stakeholders across the mining value chain for this remarkable achievement. The momentum continues.
#Mining #Tanzania #Minerals #EconomicGrowth #Investment #MiningSector #RevenueCollection #AfricaMining #TanzaniaMining #Development #Vision2030 #MadiniNiMaishaNaUtajiri #MiningIndustry #Leadership #SustainableDevelopment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt, Emmanuel Nchimbi, amewataka Viongozi na Waajiri Nchini kuwathamini na kuwapa motisha Wafanyakazi wao mara kwa mara, akieleza kuwa kuthamini juhudi za Mfanyakazi kunachochea morali na kuongeza ufanisi kazini.
Akizungumza leo Mei 21 Jijini Arusha wakati wa Mkutano Mkuu wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania, Dkt. Nchimbi amesema hata maneno ya pongezi kutoka kwa Kiongozi yanaweza kuwa zawadi kubwa kwa Mfanyakazi na kumfanya ajivunie kazi yake.
“Nilichotaka kusema hapa ni kwamba hata kule Maofisini kwenu Viongozi, Maofisini wale Wafanyakazi ni vizuri wakawa wanapata motisha za mara kwa mara, visafari hivi mara moja moja na nini, lakini hata akiambiwa wiki hii umepiga kazi umenifurahisha na yenyewe ni zawadi kubwa sana, Mtu akikufurahisha usifiche moyoni mwako, mwambie, inamsaidia Mtu anarudi Nyumbani anaona leo mama au baba amerudi amefurahi kumbe Bosi wake kasema, na sio ninyi tu hata mimi hapa, mimi si Makamu wa Rais? Kuna siku moja moja, sio mara nyingi, Mama Samia tukikutana ananiambia kuna ile kazi umefanya ilikuwa nzuri sana ile, namwambia asante, siku hiyo nacheka tu kwa sababu Watu wanapenda ‘appreciation’, akifanya kitu kizuri unamuonyesha kwamba hii umefanya jambo zuri,” amesema Dkt. Nchimbi. #MillardAyoUPDATES
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China Mhe. Liu Haixing, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2026.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju kuwa Rais wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa mara baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.