@IAMartin_@freemanmbowetz Mke wa Lissu na waroro wanaonekana Ulaya kwenye makongamano lakini kuja kumuona Baba yao hapana. Mbowe aende kama shahidi wa kificho, kama aliyewacheleeesha, aliyetengeneza kesi au aende kama nani. Acheni usengerema
@MzalendoDaily@TheophillJoseph Marikani ilitoka taarifa kwamba "alidhulumu haki za watu kuishi" , Sasa kama haki ya kuishi ni ushoga badi nawe ni mpakwa mafuta wa Diddy
@millardayo Ukirejea namna Jeshi la Polisi likivyowatendea ukatili kina Sugu na Mnyika kule Mbeya unakosa Imani kabisa na uhusika wao kwa Mzee Kibao. Wanachunguza Nini? Wajicbunguze? Wakiuoata ukweli watasema? Dawa ni Kisasi tu hata ikiwa ni baada ya miaka mingapi..
@tanpol Sasa hivi mtapata wakati mgumu kukamatabwatu kwasababu hakuna atakayekubali kwenda kuuawa kusikojulikana. Ni heri muuane hapo hapo ijulikane ndugu watazika mwili wa mtu wao.
@tanpol Polisi mnachukiwa kwasababu ya matendo yenu ya upendeleo na kutumikia CCM Ili kuhujumu haki za wengine. Kwanini mnakuwa waonevu!? Siku umma ukireact mnaweza kuzuia hasira mnazozifuga mioyoni mwa watu!?