BRO TO BRO,
Usiwahi kudharau hustle ya mwanaume mwenzako.
Wanaume Hatuchekani wala kudharauliana.
Kila mwanaume anapambana na vita yake kimya kimya, na mara nyingi hakuna anayejua mzigo anaoubeba.
Heshimu sana jitihada za kila mwanaume unayekutana naye, kwa sababu nyuma ya kila hustle kuna njaa ya mafanikio, majukumu ya familia, na vita visivyoonekana.
Siku zote Wanaume wa kweli hawavunjani moyo wanainuana.
Kwa sababu sote tupo kwenye vita moja ya maisha
Kama hauna pesa ya kulipia tool za kutengenezea content za blog, YouTube automation na Facebook monetization
Kuna hii software nitakupa bure kama unahitaji tu
→Repost
→Comment " Facebook monetization"
→Nakutumia DM
PS: Hakikisha unaitumia vizuri huwezi kukosa hela
Brother Niki dar tuache utani umezungukwa na washauri wa pumbavu sana wameshindwa kukuweka chini wewe na mke wako mkamaliza matatizo yenu ila wamekutenganisha nae Brother heshimu Sana mwanamke anae kuvumialia kipindi unanuka jasho mpka sasa upo nanukia utam kwa pesa za serikali
@sethtito3 Kuhusiana na uwezo wa kusajili eSim, tafadhali piga *#06#Ok kisha utaletewa taarifa nyingi ikiwemo IMEI, ICCID, EID. Uwepo wa EID ndio uthibitisho kuwa unaweza kusajili eSim. Ahsante^REM
Kufanikiwa si lazima uwe na hela tu hata kujua wewe ni Nani,unapaswa kufanya nini,ukiwa na Nani, sehemu gani, kwa mda gani,kwa lengo lipi na kwa faida zipi?
Hayo nayo ni mafanikio tosha!!!!!
"Ni kweli kwamba Elimu haina mwisho,lakini jitahidi Sana katika shule zako zote utakazopita ,usisahau kupita katika shule ya Mungu"
Be Good and Do Good